Vijana wa CHADEMA walio vyuo vikuu mbalimbali na ubunge 2015

kutangaza nia,ni haki ya mtu kikatiba pia kura ya maoni ndio kitakacho amua nani asimame au la,ikumbukwe 2010 kuna baadhi ya majimbo yalipita bila kupingwa hivyo hao wanaotangaza nia ni msaada mkubwa kwani hata kama kura za maoni hawakupita basi watagombea udiwani.

Hivyo mafisadi wa CCM watakuwa ktk wakati mgumu.
 
Labda waislamu wote tufe ndo chama hichi cha kikristo kishike nchi.La sivyo mtabaki hapo mlipo au mtapotea kabisa
 
Labda waislamu wote tufe ndo chama hichi cha kikristo kishike nchi.La sivyo mtabaki hapo mlipo au mtapotea kabisa

sio kosa lako ni kosa la mtume wako aliyekufundisha hivyo
 
Labda waislamu wote tufe ndo chama hichi cha kikristo kishike nchi.La sivyo mtabaki hapo mlipo au mtapotea kabisa

Mkuu hapa umeingiza udini! Naona una kitu kinakusumbua kichwani kaka. Tulia jipange utoe hoja zenye mashiko utaeleweka, kushika petroli na njiti ya kibiriti inayowaka kutakufanya ulipuke.
 
Mbona mnachomekea udini hata mahali pasipohusika?? tubadilike wakuu
 
Labda waislamu wote tufe ndo chama hichi cha kikristo kishike nchi.La sivyo mtabaki hapo mlipo au mtapotea kabisa

mdini mkubwa we,kama cdm ni chama cha wakiristo basi twambie leo chama kipi ni cha waislamu ? Ww akili zako ni 0.0001 KB,
 
Mkuu.
Swala la mtume hapa linaingiaje tena? Usiwe mwepesi kupotezwa njia na wewe kupotea, tazama rangi ya anga kisha uone kama inafanana na ulicho jibu.

kama amekili kwamba mpaka waislam wote wafe ndo chadema iingie madarakani,so mafundisho yake ni ya dini gan? Anamuabudu nani? Je mkuu wake wa kwanza wa kanisa/mskiti ni nani? Je awapo kanisan/mskitini anapewa ujumbe na akina nani na wako chini ya nani?,jamaa ajakosea yeye ndo amekosea kuhusisha siasa na dini yake,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…