PostGE2025 Vijana wa CHADEMA watafuta hifadhi nchini Kenya kuhofia usalama nchini Tanzania

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Baadhi ya wanasiasa vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wanapata hifadhi nchini Kenya kwa kuhofia usalama wao baada ya vurugu zilizojiri nchini mwao wakati wa uchaguzi mkuu wa siku chache zilizopita.Wanasiasa hao wanaurai Umoja wa Mataifa kuingilia kati ili wapate sikio kuepusha kukamatwa na serikali ya Tanzania.
 
Wakae hukohuko safari hii wakichochea vurugu wanafatwa hadi uvunguni kwa mama yao wanapigwa risasi mbele ya familia yao ili iwe funzo kwa wazazi wake wajifunze kulea watoto na siyo wahuni
 
Hata sisi tutawapa hifadhi GEN Z wa Kenya
 
Back
Top Bottom