Pre GE2025 Vijana wa Dar hatupo tayari kuandamana, tumeridhika na utendaji wa Rais Samia!

Pre GE2025 Vijana wa Dar hatupo tayari kuandamana, tumeridhika na utendaji wa Rais Samia!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Screenshot_20240923_023634_Instagram.jpg

 
Nashawishika kuorodhesha mada zote zilizo wekwa kwenye jukwaa hili la JF kwa wiki hii mfululizo. Hii itakuwa ni Case Study nzuri sana kupima mihangaiko iliyopo ndani ya mioyo ya wahusika na mada hizi.

Lakini uzuri ni kwamba, hakuna kinacho potea kikisha fika JF; kwa hiyo itakuwa ni kazi rahisi kufanya rejea kwa mtu yeyote mwenye kutaka kujuwa hali ilivyo kuwa kuelekea kwenye kilele cha maandamano ya kihistoria Tanzania.
 
Mbona wanasoma..?

Nilitarajia waongee bila kusoma.

Kumbe kuna script imeandaliwa.

Wengine wamevuta posho humo wameingia hawataki hata kuonekana kwenye video wameinama na kukinga uso chini.
 
Back
Top Bottom