Bwana Mapesa JF-Expert Member Joined Apr 28, 2011 Posts 2,551 Reaction score 1,777 Feb 8, 2017 #101 njiwa said: alafu hawa ndio wanakuja kupiga kelele... pesa inashuka thamani, maisha magumu .... kumbe kazi hawafanyi uzalishaji unasimama wanashinda vijiweni kucheza kamari Click to expand... Kuna kiwanda gani au shamba gani kubwa unalolijua wewe ambalo limetoa tangazo la Kazi?
njiwa said: alafu hawa ndio wanakuja kupiga kelele... pesa inashuka thamani, maisha magumu .... kumbe kazi hawafanyi uzalishaji unasimama wanashinda vijiweni kucheza kamari Click to expand... Kuna kiwanda gani au shamba gani kubwa unalolijua wewe ambalo limetoa tangazo la Kazi?