Vijana wa Dar wananiita mshua

Kwamba vitambaa ndio vinalea mtoto๐Ÿ˜‚

Mwanaume anayevaa mavitambaa hapana jamani๐Ÿ˜ซ
Hapana anataka uonekane kibamba zaidi

Suruali za kitambaa za kushona kwa fundi ama nichukue dukani kariakoo naona ziko poa ukipata na koti ya suti saa mkononi..... Kiatu safi aaah baba ubatizo nipo hapa
 
Sikuhizi watoto wanateleza tu hakuna mapoda wala nini๐Ÿ˜Ž
Mna bahati sana
Sijui kuna pempasi hakuna kufua matambala
Kuna sijui babywalker
Kuna bebeonsijui linaitwaje hakuna mbeleko..
Nakushangaa wewe sijui kwanini unachelewa kula maembe mabichi na pilipili.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Siku hizi raha sana, ni wewe tu kuamua kufyatua huku umetulia! Gharama zake ndio uzae huna maelekezo utaita maji mma! Sikuhizi wanafutwa tu hakuna mambo ya kushika nnya, mimi naanzaje sasa kuchelewa mzee๐Ÿ˜Ž
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ