Vijana wa enzi hizo hawakujua nywele wala kuvaa hereni lakini walipendeza

Vijana wa enzi hizo hawakujua nywele wala kuvaa hereni lakini walipendeza

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1569379064825.jpeg
 
Ni kweli hawa wa siku hizi kuvaa suruali mharo wanatia aibu sana. Mwanangu alikuwa anaanza kupenda kuvaa kata K nikamwambia maneno makali Sasa hivi naona anavaa kiunoni vizuri.

Rafiki yangu ananiuliza nimewezaje kumrekebisha,nikamwambia mtukane tena mbele ya Mama yake. Tena tusi lenyewe ni unataka kuoa au kuolewa mwanangu? Hatojibu Kisha mfundishe.
 
Ulaji wa spaghetti
Chips yai la kisasa lenye harufu kama mtu kajamba
Tomatochilsosi kwenye kila kitu hadi mkate
Energizer
UTI isiyosikia dawa
Chanjo nyingi zinazohusisha uzazi kwa ujumla
Kila juic ingizo jipya sokoni ilimradi inekuja na jina zuri ni kunywa tu
uutapata wapi watu wenye siha hiyo ya kizamani kwa sasa?
 
I wish niweke picha yangu ya Wakati huo Pohamba Pohamba kweli

Siku hizi kijana wa Miaka 25 tayari anatembea kabeba tumbo ( Kitambi) shapeless kabisa
 
Back
Top Bottom