Vijana wa enzi hizo hawakujua nywele wala kuvaa hereni lakini walipendeza

Walijua kupendeza sana jomoniii,.yaani mtu wa kale anakusisimua kuliko mtu wa kisasa☹️hawa wa siku hizi kama wendawazimu hivii....lol
 
Dingi mmoja alimwambia mtoto wake na yeye anaanza kuvaa kata K kama ndiyo style mpya. Mtoto aliona Norma dingi ndani ya kata K aliacha mwenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23] Dingi jeuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…