GE2025 Vijana wa JKT Waonywa Kuhusu Mitandao, Waandaliwa kwa Mapambano ya Taifa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Brigedia Jenerali Paul Masinde amewataka vijana waliohitimu mafunzo ya Operesheni Nishati Safi katika Kikosi cha Mgambo 835 JKT wilayani Handeni, mkoani Tanga, kutumia ipasavyo mitandao ya kijamii na kujiepusha na kujiunga na vikundi vya uhalifu.

Kwa upande wake, Kaimu Kamanda wa Kikosi hicho, Meja Kalist Simon, amesema mafunzo hayo yamelenga kuwaandaa vijana wa Kitanzania kuwa hodari na wenye uzalendo wa kupambana na changamoto za nchi yao.

Je, serikali ina mpango wa kuhakikisha vijana hawa wanapata fursa za ajira na ujasiriamali ili yale waliyojifunza yasibaki kama historia tu?

Maoni: Je, serikali ina mpango wa kuhakikisha vijana hawa wanapata fursa za ajira na ujasiriamali ili yale waliyojifunza yasibaki kama historia tu?
View attachment 3473893
Chanzo: Global Tv​
Kwa sasa ni wakati nadhani wa kurleweshana maana ya neno mzalendo naona kadri siku zinavyoenda maana yake inabadilika kabisa.
 
Brigedia Jenerali Paul Masinde amewataka vijana waliohitimu mafunzo ya Operesheni Nishati Safi katika Kikosi cha Mgambo 835 JKT wilayani Handeni, mkoani Tanga, kutumia ipasavyo mitandao ya kijamii na kujiepusha na kujiunga na vikundi vya uhalifu.

Kwa upande wake, Kaimu Kamanda wa Kikosi hicho, Meja Kalist Simon, amesema mafunzo hayo yamelenga kuwaandaa vijana wa Kitanzania kuwa hodari na wenye uzalendo wa kupambana na changamoto za nchi yao.

Je, serikali ina mpango wa kuhakikisha vijana hawa wanapata fursa za ajira na ujasiriamali ili yale waliyojifunza yasibaki kama historia tu?
Kwani huko huwa wanapewa mafunzo gani hata kuyapasisha kuwa nayo ni mafunzo ya watu kwenda kushindanishwa kwa kuwa au kutokuwa nayo, ndugu?
 
Back
Top Bottom