Maisha yanachangamoto nyingi sana. Mara nyingine unaweza kuona dunia haikutendei haki na hata uanweza kukata tamaa. Lakini ukiangalia mapito ya waliotutangulia, unaelewa kuwa maisha ni safari tena isiyonyooka. Kikubwa ninachojifunza mimi ni kwamba, anzia unapoanzia, safari yako ikifikia mwisho uishie ulipoishia. Lakini kwa kuwa hujui uendako baada ya safari yako, jihadhari sana usifanye uharibifu, usimuonee mtu, wajali n akuwaheshimu watu wote, tenda haki na umche Mungu.
Tuendelee kupata kahawa.
Mzee wetu pumzika kwa amani
Simba wa vita, pumzika kwa amani
Tuulindeni na kuupanua uhuru wetu.
Tusikubali kufanywa watumwa wa fikra za watu wasio utu.
Watu wasiojali ubinadamu wetu, wasije kututumia kama nyenzo za kubeba agenda zao ovu dhidi ya ubindamu wetu.
Kuchezea uhuru na amani ni kushika masharubu ya simba wakati huna silaha.
Tusiruhusu watu wasio na mioyo kutugawanya kwa maslahi yao binafsi.
Watu wote, vingonzi na wananchi tuheheshimu uhuru na haki za kila upande.
Tukiingia machafukoni, hakuna mshindi na majeraha huwa hayaponi.
Tanzania Tanzania, Mungu Ibariki Tanzania, nchi yangu Tanzania.