Vijana wa kataa ndoa kimya sana siku hizi au mmeanza kuoa kisiri siri?

Tupo na msimamo wetu #Kataandoa.
Ndoa ni utapeli ulaghai na ni ujambazi.
 
Kataa ndoa, linda kibunda
Kataa ndoa, linda uhuru
Kataa ndoa, ndoa ni utapeli
Kataa ndoa, ndoa ni uhaini dhidi yako
Ila hii baridi...au basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…