Vijana wa Kiafrika na kutojishughulisha

Hhahahahahha Mungu nisamehe nimeshindwa jizuia.. hahaa kwamba dada kungwi😄😄🙌!
 
Yani kati ya watu ambao ni hasara kuwepo hapa nchini na Afrika kwa ujumla ni wewe aisee..dah! Sijui una umri gani
 
Kwani Magufuli anaongoza bala zima la Africa? Au ndo yeye ametuongoza toka tumepata uhuru?
 
..wewe ni mmoja wa watu niliowataja pale juu nenda kajisome utajiona.....
Kwanza nianze kwa kukukosoa heading ya Uzi wako uko generally, kwa maana kwamba vijana wote na naeza kukuambia kuna wengine hata wewe hujafikia robo ya Mali walizonazo.

Pili kijana katika jamii ya kiafrika anaonekana katika mtazamo wa mtu aliekosa mwelekeo kama wewe ulivyowasilisha,na chakusikitisha zaidi hakuna mbinu mbadala zilizoletwa ama kupendekezwa kuwanusuru na hata waliojaribu kujinusuru wanaendelea kukandamizwa kwa manufaa ya wachache.

Hata hao unaowataja mabeberu wao kuna vijana wao ukiwakuta hata maadili hawana ni wahovyo kuliko vijana wa Afrika unaowaponda hapa,tatizo kuu ni mfumo uliopo ndio una tatizo je? Huyo kijana unayemwelekeza kesho akiamka asubuhi kwenda benki atapewa mikopo under carefully supervision,je? Taasisi ngapi kama SIDO zinamwezeshaje kijana in both technical and financial assistance.
Mfano U.S.A na Finland wanamifumo ya kusapoti vijana small business departments ambazo asubuhi ukiamka una idea yako wanakupata elimu ya kutosha na fedha under careful supervision mpaka ufanikiwe sisi wizara ya vijana hata 4% tu imeshindwa kufikia vijana.

Mimi ni nimesomea kada ya social science lakini tangu nikiwa chuo nilikuwa nikifikiri kujiajiri na kusaidia vijana wenzangu kujikwamua kiuchumi kwa kufanya hivyo nina CBO ambayo Mimi ni coordinator na mwanzilishi and our slogan is "Education and Empowerment for development"
Mpaka sasa ninaendalelea kuapply call for proposals za wadau mbalimbali kuangalia namna ya kujikwamua kiuchumi.

Nina vikundi viwili vya vijana tumesajili from scratch mpaka vilipo lakini sadly tangu January tuliapply 4℅ ya vijana hatujapata mpaka now lakini afisa Fulani Kaunda kikundi chake tayari na pesa anayo amesahau hata kama alipata.
Vijana tunapitia changamoto kubwa sana.
Don't take easy kuponda tu
 
😂😂
 
Safiiii

Sent using mt4 app
 
Ukishapata ajira unaanza kuwaona ambao hawana ajira Kama wajinga, %kubwa ya vijana tunapambana Ila inafikia wakati Dili zote zinadunda, Hizi kauli zakuwa vijana hawataki kazi ni za kisiasa, wezesheni mazingira ya vijana kutumia talent zao na elimu walizo nazo Siyo kila siku kuhimiza watu wajiajiri wakati watoto wenu wakigraduate wanapachikwa vitengo huko TRA, BOT, MALIASILI, MADINI N.K na pia hamko tayari wala hawataki kuachia office kila siku kumsifia bwana Mkuu ili mdumu kwenye viti vyenu,
 
Kwahy rais ndo anawawatuma vijana kutoshugulika!!!je nao waliojua kingereza na wapo mtaani bado wanasikiliza na kufanya mambo ya ajabu ajabu tu mtaan king Chao kimewasaidia nini! !
 
kifimbo cheza njoo huku Kuna mwenzio
 
Sawa mkuu! Nimekuelewa..
Kwa niaba ya vijana wa Africa wasiojishughulisha, naahidi kuacha tabia hiyo na kuanza kujishughulisha kwa nguvu zote!
 
Hahahahahh mkuu sikia nikwambie....tangu siku ya kwanza naanza shule sikuwa na ndoto z kuajiriwa.....na huu ni mwaka was sita tangu nimalize chuo....cha kushangaza naingiza mlo mrefu kuliko mwalimu.......hata wanangu hawatokuja ajiriwa nitawajengea misingi ya kujitegemea ili waje kuendeleza nilichoanzisha.......hawatokuja kua Kam hao wala tunda kimasihara.....
 
Ili mradi hawavunji sheria Hayakuhusu....umeshindwa kuwapa somo huko unaeleza hapa ili?
Acha unafiki
.ulichocoment kinadhihirisha vilivyopo kichwani mwako it's non of my business......nimeweka hapa ili mbadilike ukianza na wewe mwenyewe......na usisahau hao ndio chanzo cha kuvunja sheria.....choose your word careful little boy....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…