mapango yenye muundo wa kichwa[emoji3][emoji3]...nyie vijana tikiseni hayo mapango yenye muundo wa kichwa kugundua fursa.....fursa zipo kibao au mnaogopa watu???... mnaogopana wenyewe kwa wenyewe eti nikiuza nyanya atanionaje!! Really???....kazi kushinda Instagram kuangalia makalio makubwa na maisha fake ya kifahar kwa tamaa zako unaenda kufanywa vibaya....hii kwa vijana wa kike.....hivyo vishimo sio vikombe vya chai kila mtu atie kijiko chake....jinga kabisa...
Kwanini umesema unaingiza mshiko mrefu kuliko mwalimu ??????Hahahahahh mkuu sikia nikwambie....tangu siku ya kwanza naanza shule sikuwa na ndoto z kuajiriwa.....na huu ni mwaka was sita tangu nimalize chuo....cha kushangaza naingiza mlo mrefu kuliko mwalimu.......hata wanangu hawatokuja ajiriwa nitawajengea misingi ya kujitegemea ili waje kuendeleza nilichoanzisha.......hawatokuja kua Kam hao wala tunda kimasihara.....
..namaanisha maisha bila ya ajira yanawezekana...hivyo acha kusubiria ajira......Kwanini umesema unaingiza mshiko mrefu kuliko mwalimu ??????
..namaanisha maisha bila ya ajira yanawezekana...hivyo acha kusubiria ajira......
kujishughulisha ni nini mkuu?...nyie vijana tikiseni hayo mapango yenye muundo wa kichwa kugundua fursa.....fursa zipo kibao au mnaogopa watu???... mnaogopana wenyewe kwa wenyewe eti nikiuza nyanya atanionaje!! Really???....kazi kushinda Instagram kuangalia makalio makubwa na maisha fake ya kifahar kwa tamaa zako unaenda kufanywa vibaya....hii kwa vijana wa kike.....hivyo vishimo sio vikombe vya chai kila mtu atie kijiko chake....jinga kabisa...
...waulize mods wao ndio wamebadirisha kichwa...kujishughulisha ni nini mkuu?
na kwanini umetumia mambo unayofanya wewe kama kipimo halisi cha kujishughulisha?
....mwisho wa uzi wangu niliandika kwamba "ukweli unauma" na hii ndio outcome yake.....Wewe ni mtu mwenye roho mbaya sana na Jamii inayokuzunguka inateseka kwa ajili ya uwepo wako.
kwaio wewe kua na maisha juu kuliko vijana wenzio ndo uthibitisho kua unajishughulisha?...waulize mods wao ndio wamebadirisha kichwa...
Hahahahahh mkuu sikia nikwambie....tangu siku ya kwanza naanza shule sikuwa na ndoto z kuajiriwa.....na huu ni mwaka was sita tangu nimalize chuo....cha kushangaza naingiza mlo mrefu kuliko mwalimu.......hata wanangu hawatokuja ajiriwa nitawajengea misingi ya kujitegemea ili waje kuendeleza nilichoanzisha.......hawatokuja kua Kam hao wala tunda kimasihara.....
Hayakuhusu.ulichocoment kinadhihirisha vilivyopo kichwani mwako it's non of my business......nimeweka hapa ili mbadilike ukianza na wewe mwenyewe......na usisahau hao ndio chanzo cha kuvunja sheria.....choose your word careful little boy....
...Like I said before it's none of my business...Hayakuhusu
I never said that.... mada ilikua haihusu kujishughulisha...bal ilikuwa inahusu maisha ya vijana wa kiafrika...kwaio wewe kua na maisha juu kuliko vijana wenzio ndo uthibitisho kua unajishughulisha?
...sio wivu mkuu ni huruma....mm yangu yamenyooka ila nawaonea huruma wale ambao bado wako chini......najitahidi kuwaambia ukweli ili wabadirike....hayo siyo maisha...ACHA WIVU[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
sawa kwanini unadhani maisha na kanuni/taratibu zako ni sahihi mpaka kila kijana aige mfano wako?I never said that.... mada ilikua haihusu kujishughulisha...bal ilikuwa inahusu maisha ya vijana wa kiafrika...
...sio wivu mkuu ni huruma....mm yangu yamenyooka ila nawaonea huruma wale ambao bado wako chini......najitahidi kuwaambia ukweli ili wabadirike....hayo siyo maisha...
sidhani kama nilitoa mfano wowote ule........pia kwa umri niliouweka pale..bila shaka huyo kijana atakua anajitambua hivyo anatambua zuri na baya......ila kama hajitambui yes....ni sahihi kuiga huo mfano ulioufikiria wewe ambao mimi sikuuweka...s
sawa kwanini unadhani maisha na kanuni/taratibu zako ni sahihi mpaka kila kijana aige mfano wako?