AUSTINE PhD
Member
- Sep 28, 2023
- 10
- 15
Habarini, wanajamii wa forum nimatumaini yangu kuna hamjambo
Kuna jambo linanitatiza sana.
Kwa sasa ni mwanafunzi wa shahada na naingia mwaka wapili lakini kila nikirudi likizo nyumbani swala la kukaa tu nyumbani linanitatiza sana nimekua nikiwaza bila kupata majibu sahihi.
Ningetamani sana na mm kua na biashara yangu hata pindi nikiwa likizo niwe najishughulisha nayo ili niache kukaa tu na kuconsume tu ko nilikuwa nampango wakufanya saving ili niweze pata mtaji hat wa 1.2M kwa mwaka wangu wa pili masomoni but sijui nitatoboaje yani biashara gani nifanya jwa sasa nakaa KIMARA MATOSA na mda mwingine CHANIKA DAR ES SALAAM.
Kwahio mwenye wazo la kunisaidia niweze ondokana na hali hii mbaya anisaidie!