Vijana wa Kitanzania kujiajiri

Vijana wa Kitanzania kujiajiri

AUSTINE PhD

Member
Joined
Sep 28, 2023
Posts
10
Reaction score
15
Habarini, wanajamii wa forum nimatumaini yangu kuna hamjambo
Kuna jambo linanitatiza sana.

Kwa sasa ni mwanafunzi wa shahada na naingia mwaka wapili lakini kila nikirudi likizo nyumbani swala la kukaa tu nyumbani linanitatiza sana nimekua nikiwaza bila kupata majibu sahihi.

Ningetamani sana na mm kua na biashara yangu hata pindi nikiwa likizo niwe najishughulisha nayo ili niache kukaa tu na kuconsume tu ko nilikuwa nampango wakufanya saving ili niweze pata mtaji hat wa 1.2M kwa mwaka wangu wa pili masomoni but sijui nitatoboaje yani biashara gani nifanya jwa sasa nakaa KIMARA MATOSA na mda mwingine CHANIKA DAR ES SALAAM.

Kwahio mwenye wazo la kunisaidia niweze ondokana na hali hii mbaya anisaidie!
 
Habarini, wanajamii wa forum nimatumaini yangu kuna hamjambo
Kuna jambo linanitatiza sana. Kwa sasa ni mwanafunzi wa shahada na naingia mwaka wapili lakini kila nikirudi likizo nyumbani swala la kukaa tu nyumbani linanitatiza sana nimekua nikiwaza bila kupata majibu sahihi. Ningetamani sana na mm kua na biashara yangu hata pindi nikiwa likizo niwe najishughulisha nayo ili niache kukaa tu na kuconsume tu ko nilikua nampango wakufanya saving ili niweze pata mtaji hat wa 1.2M kwa mwaka wangu wa pili masomoni but sijui nitatoboaje yani biashara gani nifanya jwa sasa nakaa KIMARA MATOSA na mda mwingine CHANIKA DAR ES SALAAM.

Kwahio mwenye wazo la kunisaidia niweze ondokana na hali hii mbaya anisaidie!
Ili uweze kumudu masomo pamoja na biashara yako tafuta biashara ya vitu vidogo vidogo vinavyopendwa na wanafunzi wenzako ambavyo havina ulazima wa kukodi fremu uwe unauza kwa njia ya online kwa simu yako tu popote ulipo pia unaongezea na huduma ya kutuma mihamala Tigopesa,Mpesa na kuuza vocha ili baadhi ya wanafunzi wakihitaji kutuma hela za boom mikoani kwao wanakuja kwako.
Biashara za mtaani zina purukushani nyingi na ni pasua kichwa sana hautaweza kuzimudu na kufuatilia masomo vizuri.
 
Asante sana ndugu, simu yangu hii natamani ifanye kazi zaidi ya kuview status sasa je izo biashara ndogo ndogo za online nazifanyj?
 
Soma sana,mengne yatakuja usisahau mshka 2 moja umponyoka and then GPA muhm
 
Tafuta line za uwakala fanya kazi ya miamala ni rahisi kuifuatilia pia pesa yako utakuwa unaichungulia.
 
Back
Top Bottom