Vijana Wa Kitanzania Msipojijengea Kawaida ya Kuthamini Dada Zenu, Wote Wataishia Kuolewa na Wazungu

Vijana Wa Kitanzania Msipojijengea Kawaida ya Kuthamini Dada Zenu, Wote Wataishia Kuolewa na Wazungu

You are too dumb and stupid to even string together a coherent sentence. Mburukenge weee. Endelea kuoga vumbi tu.
bwahahahaha So whatcha gon' do, ya freak dogo
 
You are too dumb and stupid to even string together a coherent sentence. Mburukenge weee. Endelea kuoga vumbi tu.
I'm your father! Don't talk to me like that......
....najua una li XXXL lako la North dakota bwahahaha lakuweka mjini
 
I'm your father! Don't talk to me like that......
....najua una li XXXL lako la North dakota bwahahaha lakuweka mjini

Hahahaa you really wish that was true, don't you? And you really wish that you knew me like that, don't you? Much to your chagrin you fruity pebble, you don't know diddly-squat about me and you never will.

Now keep wishing....and don't stop loving to hate me.
 
Hivi kwa nini inakuwa fahari kwa mwanamke mweusi wa kiTanzania kuolewa na mzungu, utakuta picha na mashauzi kibao kwenye blogs... mbona kuna waTanzania wengi weusi wanaume wameoa wazungu na sioni wakijishaua kwenye blogs?! Hii ikoje?

Nakubaliana nawe Riwa. nadhani kuna zaidi ya kuolewa hapa. kuna ka-message ka ukombozi fulani vile. na hapo ndo the whole purpose ya taasisi ya ndoa inapopoteza maana. kama kuna mtu anafeel kapata unafuu, kakombolewa, then manake huyo mwenzake kaongezewa mzigo wa ukombozi wa mtu. na ikishakuwa hivyo then unaanza kujiuliza kama ndoa uliyomo una haja ya kuwemo. Halii hii haina mipaka ya rangi. yeyote atakayeona kakombolewa kwa kuingia ndoani then ajue anajitengenezea tatizo kubwa zaidi kuliko huo ukombozi
 
licha ya dharau,matusi na fedheha wanazozipata cha kusikitisha zaidi wengi wanafanyiwa mchezo mchafu na mapenzi kinyume na maumbile na
hawa wazungu
 
licha ya dharau,matusi na fedheha wanazozipata cha kusikitisha zaidi wengi wanafanyiwa mchezo mchafu na mapenzi kinyume na maumbile na
hawa wazungu
mnawaonea tu kwani watanzania hawafanyi,heri hata mzungu atakujengea japo choo uharie humo mbongo ataishia kukukimbiza ukaharie vyoo vya stendi:evil:
 
licha ya dharau,matusi na fedheha wanazozipata cha kusikitisha zaidi wengi wanafanyiwa mchezo mchafu na mapenzi kinyume na maumbile na
hawa wazungu

wewe haya uliyajuaje??au na wewe ni mmojawao?
 
mnawaonea tu kwani watanzania hawafanyi,heri hata mzungu atakujengea japo choo uharie humo mbongo ataishia kukukimbiza ukaharie vyoo vya stendi:evil:

Lakini mkifa maiti zenu zisijetelekezwa na hao white trash kama huyo mzungu wa dada yake Uporoto.
 
Hivi kuna kijana wa kitanzania amelalamika kukosa wa kumuoa??? La hasha, mabinti wamejaa kibao... Mabinti wote ninaowafahamu walioolewa na wadhungu wana historia ya ukicheche na baadhi yao wanasema kabisa kuwa njaa na ambitions za maisha mazuri na kupanda ndege bure ndo vimewapeleka. Wakienda ulaya na kurudi wanatoa complains kibao kuwa walidharauliwa, jamaa alimficha asionane na ndugu zake nk. All in all ifike wakati dada zetu muanze kuamini kuwa juhudi na kujituma kwako ndo vitakuletea maisha mazuri na sio wazungu
 
sasa hata kina kaka wakiwa waangalifu itasaidia nini???
 
siongei na washika pembe.....wenzako wanakamua.....afu dogo unaikngai anga zangu eeh???? unataka ndizi nyama naona
Si bora kushika pembe kuliko kukamatishwa ukuta........Vipi ushatoka kuliwa kiboga yakhe.......
 
na ule uchafu woote wakunyonyana plus TIGO

ndoo manake, wanaona wakitoa tigo kwetu tutaona hawafai. ila believe me mzungu kumpenda mwafrika lazima ale tigo yake.
 
Mapenzi si pesa wala si ukabila, hivyo nawashangaa kwa swali lenu hasa Hen na Fide
Leo kwangu kesho kwako.
 
Sasa kwani wakiolewa na wazungu wataisha na mamen wa kiTz watakosa wa kuoa? Hivi ina maana kwa vile hawathaminiwi ndo maana wanaolewa na wazungu? Hao 'total knockout' sijui 'U-turn' ni wambea tu,hawana lolote jipya,wameolewa na wazungu lakini vidomodomo haviwaishi!!
 
Japa Tanzania wengi huoa Kenya,Uganda,Rwanda,Burundi, wa hapa hakuna kitu ,mtu umuoe mwanamke kama mange,shangazi ,maria,wema,halima,beurope,mchina mzaramo itakuwa ndoa kweli.
 
Back
Top Bottom