Mchimwachimego
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 358
- 271
Unachoongea ni kwel kabisa , kiuhalisia mm ni msomi niliejiajiri kwa kufungua biashara , ingawa mtaji niliupata baada ya kufanya kazi ya mkataba , pindi nilipoanza biashara aisee watu walikua wananishangaa tuu, lakini sikuwajali , hawakujua mambo ya kutembea na bahasha na kuwanyeyekea watu yanavyokera , nilijipa moyo na kukomaa nikasema sitafuti kazi tena mm ilimradi nimeshapata mtaji acha nikomae na biashara yangu , namshukuru mungu mpaka sasa naendelea na biashara yangu c haba, cha msingi hapa jamii inatakiwa ibadilike na c kukariri kua ukisoma huwezi fanya kanzi nyingine ambayo hata mtu ambayo hakusoma anaweza ifanya , mashuleni tuanenda kuongeza maarifa tuuTatizo siyo vijana jamii ielimishwe kwanza maana jamii ndiyo inawakatisha tamaa hawa wasomi ukitaka kujua Kuna changamoto ya kufanya kazi hizi ambazo hujasomea kati ya watu kumi unaokutana nao wawili tu ndiyo watakupongeza.
Hawa wengine watakukatisha tamaa na kukushangaa.
Kwa mazingira yalivyo hapa Tanzania huwezi kwenda ulikozaliwa ukaanze kufuga hata kuku maana Kijiji kitakushangaa vijana wanabidi wende sehemu za kigeni ili wakapambane.
Usilaumu vijana anza kwanza kuelimisha jamii inayowazunguka.
Hongera sana, vijana inatakiwa kujiongeza katika shughuli za kujiajiri tusisubiri kuajiriwa.Unachoongea ni kwel kabisa , kiuhalisia mm ni msomi niliejiajiri kwa kufungua biashara , ingawa mtaji niliupata baada ya kufanya kazi ya mkataba , pindi nilipoanza biashara aisee watu walikua wananishangaa tuu, lakini sikuwajali , hawakujua mambo ya kutembea na bahasha na kuwanyeyekea watu yanavyokera , nilijipa moyo na kukomaa nikasema sitafuti kazi tena mm ilimradi nimeshapata mtaji acha nikomae na biashara yangu , namshukuru mungu mpaka sasa naendelea na biashara yangu c haba, cha msingi hapa jamii inatakiwa ibadilike na c kukariri kua ukisoma huwezi fanya kanzi nyingine ambayo hata mtu ambayo hakusoma anaweza ifanya , mashuleni tuanenda kuongeza maarifa tuu