A Peculiar people
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 612
- 773
Habari za wakati huu ndugu zangu..
Naamini hoja hii inakuhusu kama wewe ni kijana wa Kitanzania unaependa maendeleo, haki na amani..
Ningependa kuwasilisha wazo kwenu vijana wenzangu wenye kutamani Tanzania iliyo bora.
Kwa muda mrefu tumekuwa tukitaka mabadiliko ya hapa na pale katika nchi yetu nzuri hii ya Tanzania. Na mara zote tumekuwa tukiweka imani yetu kwa viongozi wa siasa waliopo katika vyama vya siasa vilivyopo nchi katika kutuletea maendeleo, amani na haki na kwa kiasi walio weza kufanya walifanya sehemu yao na wengine waljisahau na wengi walipewa nafasi ambazo hawa kuleta badiliko lolote.
Kwa maoni yangu naona kama vijana bado tunayo nafasi ya kurekebisha na kuitengeneza Tanzania tunayoipenda naamini kabisa wapo vijana bora ambao pengine hawajapata sehemu ya kujitokeza na kufanya mabadiliko ya sta iliyo nchi yetu.
Hivyo basi vijana wenzangu tuchukue nafasi hii ya muda. Tuanzishe chama kipya chenye vijana wenye malengo na msimamo wa kuiona nchi hii iki songa mbele. Maana vyama vingi vinavyoendeshwa kwasasa ni kama vina mabaki ya CCM.
Tuanzishe kitu chenye mlengo sio wakukipinga chama tawala bali chama chenye umoja, maono na mikakati iliyo hai ya kuweza kuisaidia nchi kutoka katika hali iliyopo kwa sasa.. Nadhani mnaweza mkaji tathimini na kuona kama hapa kweli kama nchi ndipo tu na staili kuwepo.
Na wasilisha hoja kama kijana mwenzenu.