Vijana wa Kitanzania tuanzishe chama kipya chenye vijana wenye malengo na msimamo wa kuiona nchi ikisonga mbele

Vijana wa Kitanzania tuanzishe chama kipya chenye vijana wenye malengo na msimamo wa kuiona nchi ikisonga mbele

Achana na mambo ya siasa....we msapoti Rais bila kujali chama chake.

Karibu,

~ Mtandao wa Wafuasi Binafsi wa Rais (President Supporters Network) ~
 
Mimi nashauri turudi kwenye chama kimoja. Twende tukagombee nafasi kwenye chama kimoja
 
Back
Top Bottom