hauleibrahim
Senior Member
- May 17, 2024
- 183
- 125
Vijana wengi tz tunajitafuta huku tukiwa hatujui ni lini tutajipata kuwa na maisha Bora ya Leo n kesho za watoto wetu.
Viko vitu Kwa vijana wengi huvifanya kama njia za kuona watafanikiwa zaidi wao baadhi kumbe ndio wanaji tokotesha jumla jumla.
Vitu vifuatavyo tukiacha vijana wa kitz tutafanikiwa haraka.
1.ubinafsi wa fursa. Wako vijana wanajua masoko wanajua fursa za ufugaji na hata kilimo ila wao wanakuwa wa binafsi kuwapa connection wenzao walio katika sekta hizo hizo.ukiuliza Kwa nn wanahofia kuwapa fursa wenzao ni umimi na roho mbaya tu ya kuto kupenda kuona wenzako wakikuzidi au kupiga hatua zaidi.
2.Kukosa uaminifu; vijana wengi wa kitz wanakosa uaminifu iwe kwenye eneo la kazi au eneo la fedha ni wachache wasio na ukosefu wa uaminifu.wengi wa vijana uaminifu wetu umekuwa ni mdogo sana hasa kwenye maeneo ya kazi mpka eneo la kifedha.
3.chuki zisizo na msingi :wako vijana wa kitz baadhi ukiwa nao kwenye kazi wako tayari kuona ukifeli kuliko ukifanikiwa hasa kama wew ni mchapa kazi hodari na muaminifu pia kazini kwenu wao huona ww ni kihelehele Cha kazi
4.umimi:umimi unatuumiza sana vijana tunao jitafuta Leo mtu anaweza kula mkate wako akaona Yuko sahihi kabisa kula kitu ambacho hakupaswa kukila ila anafanya hivyo kujijali yeye bila kutazama wengine wana hali gani na uhitaji kiasi gani watokako pia
Vijana tukiacha haya tukapendana na kushirikishana fulsa za kazi masoko wengi tutafanikiwa haraka ila tukiendekeza haya kama ni uteja wetu wa kudumu kamwe tutajitafuta sana na hatuto jipata mpka tunakufa.