Z K Ahmad
Member
- Mar 16, 2019
- 29
- 36
Wimbi la ajira ni kubwa sana na kiukwel maisha ya vijana wengi yapo mikononi mwa wazazi na Ndugu wengine wenye mioyo yakusaidia Ndugu zao.
Vijana wengi Sana nchini hawaelewi ni namna gani watajikwamua kiuchumi ili kuondokana na Hali hii.
Je, wewe Kama Kijana unashauri Nini kwa vijana wenzako. Chukulia kwamba huyo Kijana mwenzio Hana hata Msingi na hajui anapata wapi huo msingi. Pia licha yakuwepo na sehemu zakufanya vibarua, Bado vibarua hivyo vitakuwa ni vya mda tu ambapo atapata pesa lakini haitotosha kuwa sehemu ya msingi.
Nakaribisha Mawazo Yenu.
Langu Mimi ni kuanzisha Mpango wakuinua vijana 5 mpaka kumi kila mwezi. Nakaribisha Hoja Kwenye wazo langu hili pia.