Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Juzi hapo Mlimani kwenye graduu ya Chuo cha WDMI mgeni rasmi Waziri wa Maji, Jumaa Oweso, anaitwa wakaitwa madogo watunukiwe kaja dogo amempiga kiduku sio cha nchi hii.
Mh mbona alimtolea uvivu. Mbele za wageni, hightable watu wakajua dogo ataambiwa wewe utagraduate mwakani. Ila jamaa akamtunuku na yeye.
Kunyoa sawa ila kuna baadhi ya matukio bora kustay low.