Dah... Huu ndiyo ukandamizaji ambao CDM wanapigia kelele kila siku… kila mmoja anahaki ya kuweka kichwa chake vile ambavyo anataka kwani haimuathiri yoyote...denge langu hili nimeanza kulinyoa tokea mwanzoni mwa miaka ya 50s...hakuna aliyewahi kuniuliza...Sasa wewe ni nani hasa hadi uanze kupigia kelele stail za minyoo ya watu?......Acha ukoloni 😎Habari!
Kila kukicha kuna jambo jipya mengine ya kustaajabisha na mengine yakuuzunisha katika jamii.
Wimbi kuwa la vijana wetu wa kiume wamekuwa wakijisahau kupita kiasi sababu jamii kwa sasa haina nguvu tena kama ilivyokuwa zamani.
Ushauri kwenu vijana wa kiume na jinsi mnavyonyoa moja kwa moja mnasikitisha jamii. Mnajisahau kupita kiasi mnakuwa sawa sawa na jamii inavyopambana na kulia kwa mtoto wa kike na mavazi ya ovyo.
Mtatuita sisi ni wazee wakoloni ila kwa unyoaji huo si vyema kabisa kwa kijana aliyejiatambua na kuelimika.
Kumbukeni nguvu ya elimu uonekana pale inapotumika kwako na kwa watu wengine.
Jitathimini mwenyewe na style ya nywele na ujiulize maswali machache kwa haraka.
Ikitokea sehemu ya heshima wakati huu utakwenda bila kuanza kujiuliza mara mbili mbili.
Wewe kama ukawa ni mgeni rasmi katika tukio fulani utakwenda bila kujiuliza huo muonekano?
Achana na kuiga mambo yasiyo ya msingi vijana mnapoteza sura yenu halisi kwa jamii kwa ujumla
Nawasilisha Mzee Mkoloni.
Cc: Kichwa Kichafu
Weka picha ya kijana aliyenyoa kihuni na mm nikulipe ya mzee aliyenyoa ivoivo,nyie wazee wa sikuhizi mnashindana na vijana kwenye almost kila kitu sio wanawake sio nini,ukiona amekuzidi kete sehemu unatafuta namna ya kulalamika,..oooh sijui vijana wa sikuhizi wahuni,ebu zeekeni aseeMtoto umfundishe kuhesabu machungwa.
Unampa kazi ya kuhesabu machungwa anakwambia hajui.
Ndivyo uombavyo picha kwenye uzi uliojitosheleza maelezo yake.
Kuna shida apoSasa kama huyu akikua utamlaumu kijana wakati baba yake ana miaka zaidi ya 45 na anamnyoa hiviView attachment 1686459
Duh,Fundisha watoto wako. Wengine waache.
Nchi ina mamilioni ya watoto, ukiumiza kichwa kwa mambo ya watu baki, shughuli zako utanya saa ngapi?
Baba Levo huyu huyu aliyesema yuko tiyari kufa ilimradi mtoto wa Nyange abaki. Kwanza si mweusi huyu mbona anajiedit kupitilizakuna hii style ya nywele imewekwa na baba levo akiweka mtoto wangu nitamvunja mguu afe.
View attachment 1686479
Maelezo na pichaHabari!