Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Wanawake tangu kuolewa kwao mpaka kuzeeka huwa hawawapi waume zao nafasi za kuwa huru na kushukuriwa.
Kwa bahati mbaya sana vijana wa kiume ndiyo wanaoongoza kwa kuwashutumu na kuwatendea vibaya baba zao.
Vijana hao husahau kuwa anayotendewa baba yao na mama yao akisihrikiana na wao, na wao pia watatendewa na wake zao wakishirikiana na watoto zao.
Hii Clip hapo chini ina funzo toka kwa mtoto wa kiume anayejielewa.