Vijana wa kiume muigeni huyu jamaa

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
Wanawake tangu kuolewa kwao mpaka kuzeeka huwa hawawapi waume zao nafasi za kuwa huru na kushukuriwa.

Kwa bahati mbaya sana vijana wa kiume ndiyo wanaoongoza kwa kuwashutumu na kuwatendea vibaya baba zao.

Vijana hao husahau kuwa anayotendewa baba yao na mama yao akisihrikiana na wao, na wao pia watatendewa na wake zao wakishirikiana na watoto zao.

Hii Clip hapo chini ina funzo toka kwa mtoto wa kiume anayejielewa.

Your browser is not able to display this video.
 
Kwa bahati mbaya sana vijana wa kiume ndiyo wanaoongoza kwa kuwashutumu na kuwatendea vibaya baba zao.

Vijana hao husahau kuwa anayotendewa baba yao na mama yao akisihrikiana na wao, na wao pia watatendewa na wake zao wakishirikiana na watoto zao.πŸ“ŒπŸ”¨
 
Maisha ya vijana wa kiume yamejaa uchawa sana kwa mama zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…