Hilo sio dongo kwa vijana wetu wa siku hizi 18-35 years wa kiume. Tofauti na vijana wa kike vijana wa kiume wamekuwa wazembe, slow, hawajitumi wala kujielewa. Tukumbuke vijana wetu wa huko nyuma wale waliomaliza form 6 kuanzia 1995-2005 watakubaliana na mimi.
Sababu mojawapo kwa mawazo yangu ni hizi
1. Shule za kata ni nzuri lakini zimefanya watoto ambao wametokea sehemu za vijijini kutokuwa na wenzao walio tokea maisha ya juu zaidi na hii inaongeza gap kwani watoto wanajifunza kwa wenzao. Mfano huyu Mwigulu wa leo kasiadiwa sana kutoa ushamba wake kwasababu ya kusoma Ilboru na watoto kutokea sehemu tofauti. Lissu na Nyalandu ni hivyo hivyo hiyo ni Ilboru tu. Yaani mtoto wa mkulima alikuwa alija Ilboru akimaliza shule anajua vitu vya Dunia nzima kwasababu watoto wa balozi walikuwa wanasoma pale. Huu ni mfano tu. Sasa vijana wanasoma kata mpaka form 6 na wenzao slow ni ngumu kuja kuchangamka. Wenzao vijana wa kike bado wana shule hizi nyingi.
2. Siasa za Tanzania zimewaaminisha vijana wetu watawasaidia badala ya kuwaaminisha watawawezesha. Hii imeleta utamaduni wa kila siku kulalama kwa serikali badala ya kufikiria njia za kujimudu.
Umasikini ukikuwepo miaka yote Tanzania sasa sisi tuliwezaje miaka ile 1998-2000 wakati hata mitandao ilikuwa ya shida lakini cha ajabu Watanzania wa diaspora ambao wali tafuta mbinu wenyewe miaka hiyo hawakusaidiwa na serikali! Lakini hawakulalamika. Sasa vijana wanadeka kama watoto.
Dah spika mstaafu utafiti wake usio rasmi unaonekana una ukweli fulani.
Nimebaini kuwa timu ya mpira wa soka, taarabu, kwaya, qasida, siasa, biashara ndogo, ukulima, ufugaji, wanasheria nguli n.k mbali na zile fani za ualimu, uuguzi ni kweli na hizi zingine nyingi wame dominate upande wa kike.
Hilo sio dongo kwa vijana wetu wa siku hizi 18-35 years wa kiume. Tofauti na vijana wa kike vijana wa kiume wamekuwa wazembe, slow, hawajitumi wala kujielewa. Tukumbuke vijana wetu wa huko nyuma wale waliomaliza form 6 kuanzia 1995-2005 watakubaliana na mimi.
Sababu mojawapo kwa mawazo yangu ni hizi
1. Shule za kata ni nzuri lakini zimefanya watoto ambao wametokea sehemu za vijijini kutokuwa na wenzao walio tokea maisha ya juu zaidi na hii inaongeza gap kwani watoto wanajifunza kwa wenzao. Mfano huyu Mwigulu wa leo kasiadiwa sana kutoa ushamba wake kwasababu ya kusoma Ilboru na watoto kutokea sehemu tofauti. Lissu na Nyalandu ni hivyo hivyo hiyo ni Ilboru tu. Yaani mtoto wa mkulima alikuwa alija Ilboru akimaliza shule anajua vitu vya Dunia nzima kwasababu watoto wa balozi walikuwa wanasoma pale. Huu ni mfano tu. Sasa vijana wanasoma kata mpaka form 6 na wenzao slow ni ngumu kuja kuchangamka. Wenzao vijana wa kike bado wana shule hizi nyingi.
Mambo yamebadirika sana, hapo zamani kila kijana alipomaliza f6 alikuwa ana matumaini ya kupata degree ya kwanza nje ya nchi na ndio huyo alionekana msomi kwelikweli kulinganisha na walienda mlimani, miaka kadri ilivyosogea serikali ikaondoa huo ufadhiri, ukimaliza lazima usome hapa nchini labda degree ya pili, mpaka sasa degree zako zote unamalizia hapahapa kama unavyowasifia hao uliowasifia lkn hapo zamani walikuwa wanadharauliwa kama wewe unavyodharau wanafunzi wa kata.
Hilo sio dongo kwa vijana wetu wa siku hizi 18-35 years wa kiume. Tofauti na vijana wa kike vijana wa kiume wamekuwa wazembe, slow, hawajitumi wala kujielewa. Tukumbuke vijana wetu wa huko nyuma wale waliomaliza form 6 kuanzia 1995-2005 watakubaliana na mimi.
Sababu mojawapo kwa mawazo yangu ni hizi
1. Shule za kata ni nzuri lakini zimefanya watoto ambao wametokea sehemu za vijijini kutokuwa na wenzao walio tokea maisha ya juu zaidi na hii inaongeza gap kwani watoto wanajifunza kwa wenzao. Mfano huyu Mwigulu wa leo kasiadiwa sana kutoa ushamba wake kwasababu ya kusoma Ilboru na watoto kutokea sehemu tofauti. Lissu na Nyalandu ni hivyo hivyo hiyo ni Ilboru tu. Yaani mtoto wa mkulima alikuwa alija Ilboru akimaliza shule anajua vitu vya Dunia nzima kwasababu watoto wa balozi walikuwa wanasoma pale. Huu ni mfano tu. Sasa vijana wanasoma kata mpaka form 6 na wenzao slow ni ngumu kuja kuchangamka. Wenzao vijana wa kike bado wana shule hizi nyingi.
2. Siasa za Tanzania zimewaaminisha vijana wetu watawasaidia badala ya kuwaaminisha watawawezesha. Hii imeleta utamaduni wa kila siku kulalama kwa serikali badala ya kufikiria njia za kujimudu.
Umasikini ukikuwepo miaka yote Tanzania sasa sisi tuliwezaje miaka ile 1998-2000 wakati hata mitandao ilikuwa ya shida lakini cha ajabu Watanzania wa diaspora ambao wali tafuta mbinu wenyewe miaka hiyo hawakusaidiwa na serikali! Lakini hawakulalamika. Sasa vijana wanadeka kama watoto.
Mfumo wa malezi ndio tatizo. Wazaz wa leo mnalea watoto hovyo. Hawajui kaz. Hawajakuzwa kwenye dhana ya kusurubika na kuhenyeka kama msingi wa mafanikio