Vijana wa Kiume Tujifunze namna ya kutofautisha Wanawake, Hasara ni kubwa

Vijana wa Kiume Tujifunze namna ya kutofautisha Wanawake, Hasara ni kubwa

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
5,233
Reaction score
12,398
Kama kijana wa kiume, jifunze kutambua kuna wanawake ni MAALUM kwa NDOA tu na kuna wanawake ni MAALUM kwa shahawati za mwili na starehe tu , Hata wao wanajijua hivyo. Ndio ipo hivyo duniani kote.

Kushindwa kwako kutofautisha hilo kama mtoto wa kiume litakuletea shida kubwa kwenye future yako.

UKIONA umeoa halafu along the way unaacha mwanamke au mnatengana, ujue hukutumia akili kwenye kutofautisha…. Ulitumia shahawati za mwili ndio maana umekuwa failure na loser !

Hakuna kitu kizuri kama kuzeekea pamoja,

Mwanamke ambae yupo duniani only for leisure and sex unapoenda kumfanya mke kwa hamasa za mwili , gharama yake ni kubwa na hata kizazi chako kitakuwa cha hovyo.

Mdada anaweza kuwa anashinda church au kuvaa vaa yale mahijab and still akawa not destined for marriage, ila wewe ukaenda kuforce na kuoa…… imekula kwako … ndio maan tuna single fathers wengi sana now days

siku hizi watoto ni mayatima hali ya kuwa wazazi wapo hai; watoto wanaishi kama kuku wa kienyeji mama yupo huku baba yupo kule ….yote hii ni sababu ulishindwa kutofautisha yupi wa bata na yupi mke. Au yupi mwanaume wa bata na yupi mwanaume wa kuwa mime

Mwisho, kama unaoa mtu anamtoto, make sure unatanya vetting ya kutosha … usidharau alipopashindwa mwanaume au mwanamke mwenzio….. vizuri huwa haviachwi

Take care kijana wa leo
 
Back
Top Bottom