Vijana wa kutoka Mbeya ni wastaarabu na wapole; mfano ni RayVanny

Mbeya ipi? Dah kuna watu wana mbwembwe kama wasomi waliofanikiwa kutoka MB? Unahitimisha kwa wanamuziki 2 labda kazi yao inawataka wawe hivyo, kwangu baada ya Nshomile wanafuata Ndagas kwa mbwembwe
Kumbe mbwembwe tuu hakuna jingine?
 
Pole aisee kaka angu naons mada imekugeukia japo mm sijamaanisha jinsi watu wanavyowasema wanyakyusa. Mm nimeishi mbeya na nimesoma huko so ndivyo niliwaona hivyo. Kuhusu kuwataja kina rayvanny ni kama kioo watu wengi wanawafahamu na kwa umaarufu wao still ni watu wastaarabu. Nimeongelea vijana sasa sijaongea wakizeeka ndo watakuja kuwa kama kina mwakimango hapo ni hulka ya mtu. So don't attack them please. Mbona mm ni mtu wa kanda nyingine huko sijawasifia hao kaka zangu???
 
Mama yangu analala na dada zangu, Nambie huyo dalali haujamwalibia tu ndoa yake? Maana umemchanganya mpaka anakumegea siri zake za fedha.
Unazani uko sawa kusema analala na Dada zako,unazani uko sawa kujiita ni mtoto wa yule unayezani ni baba yako?Be care mkuu you ar nothing.
 
Halafu Hao hao Vijana wa Mbeya Hawanaa Roho ya Kiume na ya Upambanaji yaani wao ni kulia lia tu...Mfano mzuri wewe Hapo Kipi Hasa kinakufanya ulie!
Wewe choko tu, unalazimisha kubishana na wakati kichwa chako box kabisa.
Kipindi niko advance kwenye somo la hesabu watu kama wewe tulikuwa tunawaita empty set = (0)
 
Hao vichaa wengi wao ni watu wa kaskazini, huwa wanajiona bora kuliko makabila yote tanzania.
Kwa hiyo wakiona mtu wa mkoa mwingine akipata sifa na tunzo ni wanaona kama hastahili mana kila kizuri wanataka kiwe chao na utawaona hata maofisini kwenye taasisi mbalimbali, kwenye siasa n.k wanatabia hizo hizo za kichoko.
Wanapokuja kwenye anga zangu huwa siwakopeshi kabisa
 
Unazani uko sawa kusema analala na Dada zako,unazani uko sawa kujiita ni mtoto wa yule unayezani ni baba yako?Be care mkuu you ar nothing.
Niko sawa kabisa boss, Mama yangu yupo kwangu analala chumba kimoja na dada yangu, kwa swala uliloniuliza, anayelala chumba kimoja na mama yangu ni dada yangu, sasa ndio nakuuliza wewe, kilichokufanya ufuatilie account ya pesa ya mume wa mwenzio ni nani?
 
Wewe choko tu, unalazimisha kubishana na wakati kichwa chako box kabisa.
Kipindi niko advance kwenye somo la hesabu watu kama wewe tulikuwa tunawaita empty set = (0)

Acha ushamba Kama Hujui Hesabu Tulia Hakuna Empty set yenye Namba yoyote Ndani Empty set ni kama ( ) Basi!

Note: Ubongo wako ni Kama Derivative ya Constant!
 
Acha ushamba Kama Hujui Hesabu Tulia Hakuna Empty set yenye Namba yoyote Ndani Empty set ni kama ( ) Basi!

Note: Ubongo wako ni Kama Derivative ya Constant!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
We mangi ni kichaa, kumbe unajua hesabu. Sasa huo ujinga wa kuwananga wanyakyusa unautoa wapi?
 
Nimezaliwa mjini, mshkaj mzaramo mwarabu sasa kama umetoka mwakayleli huko
Huwez kupajua mjini utauzwa wewe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji38][emoji38][emoji38]mtoto wa mjini ni lami uzaramo kwenu kibiti huko utajisifiaje kuwa umezaliwa mjini wakati unalala chumba kimoja na dada zako tatizo ni akili za viduku[emoji32][emoji32][emoji32][emoji32][emoji32]
 
Mtoto wa mjini na mzaramo aliyepata 0 unashndwa ata kujielewa bulldog kwl ww endelea kuw na akili za chips ivoivo
 
Maisha tu yamemnyoosha na kumfunza kuishi na watu ila kwa kawaida vijana wa mbeya ni bange, majungu, vurugu na mihemko kwa kwenda mbele
Acha wivu na wa kule wanaosema aiseee chaliii anguu niaje umewaacha wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…