Handsome man
JF-Expert Member
- May 6, 2017
- 880
- 956
Ukishajua itakuwaje?Nataman kujua umri wako tu Mkuu.
Maana comment Yako inanichanganya.
Ongea logic usilete mambo ya mbeya apa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukishajua itakuwaje?Nataman kujua umri wako tu Mkuu.
Maana comment Yako inanichanganya.
Umeshaanza tayari[emoji1] [emoji1]Aseeee ugwe findu fiki
Asante ila msifanye misiba kuwa ndiyo sehemu ya vikao vyakusutana na ufahari wa wingi wa watu na badala yake mvitumie kupanga mikakati ya kujenga uchumi.Basi ulidanganywa bwana mdogo
Ha ha ha, jaribu kumuuliza alieotoa hayo maneno yana maana gani ndio itakuwa vizuri zaidi.Kamaanisha nini hapo, maana kila mtu ka mquote kwa kucheka
Kumbe mbwembwe tuu hakuna jingine?Mbeya ipi? Dah kuna watu wana mbwembwe kama wasomi waliofanikiwa kutoka MB? Unahitimisha kwa wanamuziki 2 labda kazi yao inawataka wawe hivyo, kwangu baada ya Nshomile wanafuata Ndagas kwa mbwembwe
Pole aisee kaka angu naons mada imekugeukia japo mm sijamaanisha jinsi watu wanavyowasema wanyakyusa. Mm nimeishi mbeya na nimesoma huko so ndivyo niliwaona hivyo. Kuhusu kuwataja kina rayvanny ni kama kioo watu wengi wanawafahamu na kwa umaarufu wao still ni watu wastaarabu. Nimeongelea vijana sasa sijaongea wakizeeka ndo watakuja kuwa kama kina mwakimango hapo ni hulka ya mtu. So don't attack them please. Mbona mm ni mtu wa kanda nyingine huko sijawasifia hao kaka zangu???Proff Mwandosya amepambana sana kuhusu mkoa wa Mbeya lazima nimpe heshima yake.
Ukienda kule Rungwe Magharibi kwenye jimbo lake ni miaka mingi imepita tangu nilipoenda kule ila nilikuta umeme kwenye nyumba za ndani migombani, maji ya bomba ya uhakika, barabara zimechongwa vizuri hadi raha. kumbuka kule jimboni kwake ni kijijini sana.
Kuna mengine mengi kafanya Proff Mwandosya anastahili heshima sana
Mama yangu analala na dada zangu, Nambie huyo dalali haujamwalibia tu ndoa yake? Maana umemchanganya mpaka anakumegea siri zake za fedha.Mtu akilala na mama yako utamwitaje mkuu.
Unazani uko sawa kusema analala na Dada zako,unazani uko sawa kujiita ni mtoto wa yule unayezani ni baba yako?Be care mkuu you ar nothing.Mama yangu analala na dada zangu, Nambie huyo dalali haujamwalibia tu ndoa yake? Maana umemchanganya mpaka anakumegea siri zake za fedha.
Wewe choko tu, unalazimisha kubishana na wakati kichwa chako box kabisa.Halafu Hao hao Vijana wa Mbeya Hawanaa Roho ya Kiume na ya Upambanaji yaani wao ni kulia lia tu...Mfano mzuri wewe Hapo Kipi Hasa kinakufanya ulie!
Hao vichaa wengi wao ni watu wa kaskazini, huwa wanajiona bora kuliko makabila yote tanzania.Pole aisee kaka angu naons mada imekugeukia japo mm sijamaanisha jinsi watu wanavyowasema wanyakyusa. Mm nimeishi mbeya na nimesoma huko so ndivyo niliwaona hivyo. Kuhusu kuwataja kina rayvanny ni kama kioo watu wengi wanawafahamu na kwa umaarufu wao still ni watu wastaarabu. Nimeongelea vijana sasa sijaongea wakizeeka ndo watakuja kuwa kama kina mwakimango hapo ni hulka ya mtu. So don't attack them please. Mbona mm ni mtu wa kanda nyingine huko sijawasifia hao kaka zangu???
Niko sawa kabisa boss, Mama yangu yupo kwangu analala chumba kimoja na dada yangu, kwa swala uliloniuliza, anayelala chumba kimoja na mama yangu ni dada yangu, sasa ndio nakuuliza wewe, kilichokufanya ufuatilie account ya pesa ya mume wa mwenzio ni nani?Unazani uko sawa kusema analala na Dada zako,unazani uko sawa kujiita ni mtoto wa yule unayezani ni baba yako?Be care mkuu you ar nothing.
Wewe choko tu, unalazimisha kubishana na wakati kichwa chako box kabisa.
Kipindi niko advance kwenye somo la hesabu watu kama wewe tulikuwa tunawaita empty set = (0)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Akwesile ingambo ujo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Acha ushamba Kama Hujui Hesabu Tulia Hakuna Empty set yenye Namba yoyote Ndani Empty set ni kama ( ) Basi!
Note: Ubongo wako ni Kama Derivative ya Constant!
[emoji38][emoji38][emoji38]mtoto wa mjini ni lami uzaramo kwenu kibiti huko utajisifiaje kuwa umezaliwa mjini wakati unalala chumba kimoja na dada zako tatizo ni akili za viduku[emoji32][emoji32][emoji32][emoji32][emoji32]Nimezaliwa mjini, mshkaj mzaramo mwarabu sasa kama umetoka mwakayleli huko
Huwez kupajua mjini utauzwa wewe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mtoto wa mjini na mzaramo aliyepata 0 unashndwa ata kujielewa bulldog kwl ww endelea kuw na akili za chips ivoivo[emoji38][emoji38][emoji38]mtoto wa mjini ni lami uzaramo kwenu kibiti huko utajisifiaje kuwa umezaliwa mjini wakati unalala chumba kimoja na dada zako tatizo ni akili za viduku[emoji32][emoji32][emoji32][emoji32][emoji32]
Acha wivu na wa kule wanaosema aiseee chaliii anguu niaje umewaacha wapiMaisha tu yamemnyoosha na kumfunza kuishi na watu ila kwa kawaida vijana wa mbeya ni bange, majungu, vurugu na mihemko kwa kwenda mbele