Vijana wa kutoka Mbeya ni wastaarabu na wapole; mfano ni RayVanny

Vijana wa kutoka Mbeya ni wastaarabu na wapole; mfano ni RayVanny

Acha uongo wewe.Nahisi huwajui vijana wakabila la Kinyiha na Wandali.Hakuna vijana makatili kama Mbeya ukiwatoa wale wa Mara.
 
  • Thanks
Reactions: a45
Ni mji wa kilimo in general hata pale mbeya mjini ni wakulima wengi wanaouza mazao, usishangae kwa nini jiji kisa wingi wa watu ila kiuhalisia ni mkoa wa porini sana
usikute unatika shitimbi halafu unaponda kwa wengine
 
Mm ni mtu wa Kanda ya ziwa mkuu,hao unaosema tanga kuandika makaratasi ,wazaramo sumbawanga na wengine uwasemao ni ziro kwa kyela hata kilimo tu uchawi mkuu fanya uchunguzi watoto wengi zezeta wamefichwa kwa faida wanazozijua wao mkuu usitufanye tuseme mengi hutotamani kwenda wanakimbizana na mtwala lkn kyela ni noma mkuu
acha chuki wewe,kyela hamna hizo habari za kuweka watoto mazezeta,hata ishu za uchawi unasingizia tu!! una chuki zako binafsi ambazo hazitakusaidia chochote mnafiki mkubwa wewe
 
acha chuki wewe,kyela hamna hizo habari za kuweka watoto mazezeta,hata ishu za uchawi unasingizia tu!! una chuki zako binafsi ambazo hazitakusaidia chochote mnafiki mkubwa wewe
Leo ndo akili zimekurudi nn? ww msukule habari hii ni ya lini leo ndo unakrupuka huoni kuwa ww ni mmoja wao?
 
Back
Top Bottom