ndio hadi za 2007 unazikutaNaona kuna mtu kafukua. Nilikua najuaga mada ikipita imepita kumbe unaweza kufukua hata za mwaja jana
YapDuuuuh
ShukraniAsante Jose
usikute unatika shitimbi halafu unaponda kwa wengineNi mji wa kilimo in general hata pale mbeya mjini ni wakulima wengi wanaouza mazao, usishangae kwa nini jiji kisa wingi wa watu ila kiuhalisia ni mkoa wa porini sana
acha chuki wewe,kyela hamna hizo habari za kuweka watoto mazezeta,hata ishu za uchawi unasingizia tu!! una chuki zako binafsi ambazo hazitakusaidia chochote mnafiki mkubwa weweMm ni mtu wa Kanda ya ziwa mkuu,hao unaosema tanga kuandika makaratasi ,wazaramo sumbawanga na wengine uwasemao ni ziro kwa kyela hata kilimo tu uchawi mkuu fanya uchunguzi watoto wengi zezeta wamefichwa kwa faida wanazozijua wao mkuu usitufanye tuseme mengi hutotamani kwenda wanakimbizana na mtwala lkn kyela ni noma mkuu
Leo ndo akili zimekurudi nn? ww msukule habari hii ni ya lini leo ndo unakrupuka huoni kuwa ww ni mmoja wao?acha chuki wewe,kyela hamna hizo habari za kuweka watoto mazezeta,hata ishu za uchawi unasingizia tu!! una chuki zako binafsi ambazo hazitakusaidia chochote mnafiki mkubwa wewe
Nimekuelewa zaidi CajojoHahahhaha hahahhaa we nae nimekuelewa