Vijana wa mauzo - Tiles

Vijana wa mauzo - Tiles

Abang

Member
Joined
May 8, 2020
Posts
27
Reaction score
32
Wanahitajika vijana 2 wa mauzo ya tiles.
Watakuwa na majukumu ya kwenda kutafuta order sites mbali mbali zinazojengwa. Eneo la ofisi ni Madale na kuna posho kwa mwezi, nauli na commission kulingana na mzigo ulivyouza.

Pia nakaribisha wale wote wenye uhitaji wa tiles kwa bei poaa na offer kibao pindi ukinunua.

Mawasiliano
0744 002351 What's app

Unaweza kuni PM.
 
Back
Top Bottom