ABiClever Junior
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 948
- 548
beer muhudumu analeta wine glass sh3000 utalipa mwenyeweSawa ila hakuna hata beer au wine?
ukiachia wew itakuwa poaAchia Basi Ata Punch
watu wamwagike na Points
mada ya aina gani ndio itakuwa poa hapa?Leta mada ijadiliwe...
Kujiajiri ni njia ya vijana kujikomboa....mada ya aina gani ndio itakuwa poa hapa?
Ni kweli hiyo ndio njia pekee ya kujikomboa kwasababu hui mtumwa wa mtu yeyote unakuwa huru kijipangia mipango yako ya maisha na maendeleoKujiajiri ni njia ya vijana kujikomboa....
Karibu sanaKwa kicheko kikubwaaaaaa kijana ..nmefika.
Nyanya kumbe we ni andaeitini?[emoji23][emoji23]Vijana ndio taifa la kesho