[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vijana wa tz wote ni "sexless" mkuu hawajitambui kabisaaa
Wametisha mno! Vijana wa umri huo wa Tanzania wamejaza picha na video za "pilao" kwenye simu zaoNawasikiliza hao madogo hapo Citizens tv
Wametisha sana
No CHAWA 🐼
Wazazi wao hawajitambui pia. Maana wajinga wa leo ndo genZ ya miaka iliyopita.View attachment 3044219
View attachment 3044221
Vijana wa miaka 20s wako CitizenTV muda huu wakijadili masuala yanayohusu nchi yao, na wanafanya hivyo kwa weledi mkubwa sana.
Vijana wa miaka 20s wa Tanzania hawajui chochote na wala hawaelewi chochote kuhusu mambo ya siasa na mustakabali wa nchi yao.
Ukimuuliza kijana wa miaka 20s juu ya mahusiano ya siasa na maisha yake utaona anaanza kuelezea makalio ya Poshi Queen, kitovu cha Yammy, na maisha ya wasanii wengine.
Vijana wa Tanzania wako bize kufuatilia Simba na Yanga, "connection", madanga, uchawa na ujinga mwingine.
Tanzania ni nchi ya amani. Kila kitu kizuri kinapatikana Tanzania. Ya nini kujihangaisha kama Kenya?View attachment 3044219
View attachment 3044221
Vijana wa miaka 20s wako CitizenTV muda huu wakijadili masuala yanayohusu nchi yao, na wanafanya hivyo kwa weledi mkubwa sana.
Vijana wa miaka 20s wa Tanzania hawajui chochote na wala hawaelewi chochote kuhusu mambo ya siasa na mustakabali wa nchi yao.
Ukimuuliza kijana wa miaka 20s juu ya mahusiano ya siasa na maisha yake utaona anaanza kuelezea makalio ya Poshi Queen, kitovu cha Yammy, na maisha ya wasanii wengine.
Vijana wa Tanzania wako bize kufuatilia Simba na Yanga, "connection", madanga, uchawa na ujinga mwingine.
Kwa kweli hata mimi imenishangaza sana kwa uelewa mkubwa walio nao hao vijana kuhusu hali ya nchi yao kiujumla.View attachment 3044219