mshamba_mwingine
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 1,057
- 4,145
Mmetulea vibaya mmetuambia tusome sana na tushinde kanisani CCM ni wachawi na kina Mkapa, Kikwete ni freemason
Au sio nyie?
Au sio nyie?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata nyie wazee wa Tanzania ni yale yale tu! Au unataka kusema yule Bambo ni kijana wa miaka 20? Vipi hawa wakina Mwijaku, Baba Levo na Doto Magari?View attachment 3044219
View attachment 3044221
Vijana wa miaka 20s wako CitizenTV muda huu wakijadili masuala yanayohusu nchi yao, na wanafanya hivyo kwa weledi mkubwa sana.
Vijana wa miaka 20s wa Tanzania hawajui chochote na wala hawaelewi chochote kuhusu mambo ya siasa na mustakabali wa nchi yao.
Ukimuuliza kijana wa miaka 20s juu ya mahusiano ya siasa na maisha yake utaona anaanza kuelezea makalio ya Poshi Queen, kitovu cha Yammy, na maisha ya wasanii wengine.
Vijana wa Tanzania wako bize kufuatilia Simba na Yanga, "connection", madanga, uchawa na ujinga mwingine.
View attachment 3044219

Tukiongozwa na mababu zetu waliong’ang’ania kwenye ajira kustaafu aaahWote mlio above 30's mliwahi pita huu umri wa 20's......Nyie mkiwa kwenye 20's mlifanya nini mpaka saivi mnapata ujasiri wa kuwasagia kunguni madogo? Acheni unafiki Watanzania wote ni maiti kabla na baada ya uhuru
😹😹😹 sema ss hivi unakipuliza kijiti dogoMmetulea vibaya mmetuambia tusome sana na tushinde kanisani CCM ni wachawi na kina Mkapa, Kikwete ni freemason
Au sio nyie?
Vijana wa tz wote ni "sexless" mkuu hawajitambui kabisaaa
Taka taka kabisa wengi machawa tupu kutwa wanawaza teuzi tu wakipewa mike wanaropoka vijana wajiajiri hapo yy kaedit umri ana 74 kaandika 49 ili aendelee kufanya kazi alipwe 540k za Kila mweziTukiongozwa na mababu zetu waliong’ang’ania makazini kustaafu aaah
We waache tu waendelee kulimbikiza wasomi wasio kuwa na mbele Wala nyuma mtaani baada ya mda binadamu anakosa uvumilivu yatakayotokea Kenya ni cha mtotoVijana wa miaka 20s wako CitizenTV muda huu wakijadili masuala yanayohusu nchi yao, na wanafanya hivyo kwa weledi mkubwa sana...
Kuna jamaa alikuwa anazunguka na mshati wake wa kijani tukawa tunamcheka juzi kati kapata ajira..!! 😹😹😹Taka taka kabisa wengi machawa tupu kutwa wanawaza teuzi tu wakipewa mike wanaropoka vijana wajiajiri hapo yy kaedit umri ana 74 kaandika 49 ili aendelee kufanya kazi alipwe 540k za Kila mwezi
Vijana sio kwamba hawaelewi nini kinachofanyika na madhaifu ni yapi, madogo wanajua kuliko hivi vizee venye pressure na kisukari....ila madogo wamekaaa pembeni baada ya kuona siasa za Tu bado hazijapevuka watu wapo kupiga pesa, kufanya propaganda ili watimize ndoto zao
Wako bize na Kubeti, diamondi, na connections
Vijana wa miaka 20s wako CitizenTV muda huu wakijadili masuala yanayohusu nchi yao, na wanafanya hivyo kwa weledi mkubwa sana.
Vijana wa miaka 20s wa Tanzania hawajui chochote na wala hawaelewi chochote kuhusu mambo ya siasa na mustakabali wa nchi yao.
Ukimuuliza kijana wa miaka 20s juu ya mahusiano ya siasa na maisha yake utaona anaanza kuelezea makalio ya Poshi Queen, kitovu cha Yammy, na maisha ya wasanii wengine.
Vijana wa Tanzania wako bize kufuatilia Simba na Yanga, "connection", madanga, uchawa na ujinga mwingine.
Mimi nadhani kuna Ujasusi tunafanyiwa na Wakenya au Majirani ili watu wetu waendelee kuwa mazuzu huku wa kwao wakiwa na Nchi yao.Weka Uzi unaohusu ngono, mpira, na pombe uone chap! Wanauchangamkia fasta Tena unapata wachangiaji wengi
Cha kushangaza hawa wenye shibe ndio hawana akili 😅😅😅Usilinganishe mtu mwenye njaa na asiye na njaa. Vijana wa Tanzania Wana uhakika wa chakula, kusoma bure elimu ya msingi na sekondari na chuo wana uhakika wa kupata mikopo ya vyuo vikuu
Kipindi uko 20 nawe ulifanya nn .
Vijana wa miaka 20s wako CitizenTV muda huu wakijadili masuala yanayohusu nchi yao, na wanafanya hivyo kwa weledi mkubwa sana.
Vijana wa miaka 20s wa Tanzania hawajui chochote na wala hawaelewi chochote kuhusu mambo ya siasa na mustakabali wa nchi yao.
Ukimuuliza kijana wa miaka 20s juu ya mahusiano ya siasa na maisha yake utaona anaanza kuelezea makalio ya Poshi Queen, kitovu cha Yammy, na maisha ya wasanii wengine.
Vijana wa Tanzania wako bize kufuatilia Simba na Yanga, "connection", madanga, uchawa na ujinga mwingine.
Afu Kuna hapa imekosa kazi ya kufanya analeta thread kulaumu Gen Z mchawi mifumo na walezi wakubwa wa hii mifumo ni hawa hawa wazee wetuKuna jamaa alikuwa anazunguka na mshati wake wa kijani tukawa tunamcheka juzi kati kapata ajira..!! 😹😹😹
CCM imefanya vijana waone uchawa ni sehemu ya kutoboa kimaisha, wafanyabiashara ili asisumbuliwe anaona bora amiliki kadi ya chama.
Raia wanafata unafuu wa maisha sio mapenzi ya kweli na chama.