green rajab JF-Expert Member Joined Oct 16, 2015 Posts 12,387 Reaction score 39,119 Mar 5, 2024 #41 Watawanyike tu kwanini wanapoteza muda hapo
G Gift mzalendo JF-Expert Member Joined Dec 13, 2019 Posts 1,856 Reaction score 2,417 May 26, 2024 #42 Imekuwaje huu mradi mkubwa hivi kufeli Hawakuwa na action plan Nia ya waziri ilikuwa nzuri Labda utekelezaji wake walikosea mikakati
Imekuwaje huu mradi mkubwa hivi kufeli Hawakuwa na action plan Nia ya waziri ilikuwa nzuri Labda utekelezaji wake walikosea mikakati
G Gift mzalendo JF-Expert Member Joined Dec 13, 2019 Posts 1,856 Reaction score 2,417 May 26, 2024 #43 Upitiwe Tena walipe vijana wawatu fidia Pia inasikitisha kusikia Hadi watu wenye wake zao waliacha familia zao wakaenda kwenye mradi wa majaribio
Upitiwe Tena walipe vijana wawatu fidia Pia inasikitisha kusikia Hadi watu wenye wake zao waliacha familia zao wakaenda kwenye mradi wa majaribio
K Kimbukiko JF-Expert Member Joined Apr 1, 2022 Posts 5,080 Reaction score 9,449 May 26, 2024 #44 Ukisikia " shithole countries " kama zile alizokuwa anaziongelea Trump ,hii nchi ndio Shithole pure