KERO Vijana wa Mradi wa BBT wadai kutelekezwa na Serikali. Wasema wanaishi kwa mateso na mashaka

KERO Vijana wa Mradi wa BBT wadai kutelekezwa na Serikali. Wasema wanaishi kwa mateso na mashaka

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Imekuwaje huu mradi mkubwa hivi kufeli
Hawakuwa na action plan
Nia ya waziri ilikuwa nzuri
Labda utekelezaji wake walikosea mikakati
 
Upitiwe Tena walipe vijana wawatu fidia
Pia inasikitisha kusikia Hadi watu wenye wake zao waliacha familia zao wakaenda kwenye mradi wa majaribio
 
Ukisikia " shithole countries " kama zile alizokuwa anaziongelea Trump ,hii nchi ndio Shithole pure
 
Back
Top Bottom