Vijana wa Naijeria wanaongoza kwa kutoboa kimaisha Afrika

Vijana wa Naijeria wanaongoza kwa kutoboa kimaisha Afrika

BIG STONE AND CONER STONE

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2023
Posts
421
Reaction score
728
Katika bara la Africa vijana wa Nigeria ndio wanaongoza kwa kutoboa kimaisha kwa kiwango Cha hali ya juu.
Tena wapo karbu kila nchi duniani.

Sio Hapa bongo mtu akiwa na Ist au foresta anavimbaa..vijana wa Naijeria wananunua gari za kifahari zero kilometers. Tena range, Jaguar, bentley..hivi. wao wanafanyaje au wamewazidi nn vijana wa nchi nyingne za Africa.

Bongo kijana mwenye Akili ya kutoboa sana...ni chawa wa kulamba watu miguu ndio Akili
mntuu.
Yaani
 
• NIGERIA raia wake wamewekeza katika mifumo wa biashara kwa asilimia 67%

• NIGERIA raia wake Wana mshikamano dhabiti katika kuleta maendeleo na kuleta manufaa katika nchi yao

• NIGERIA wanafanya majukumu yao kwa juhudi na malengo hususani rika la vijana ili kila mmoja apate riziki sawia kwa 7bu hata population yao ni kubwa kiasi.
 
Watanzania sijui kwanini mnajichukia kiasi hicho.
Yaani kila siku Ni kupigana majungu tu
Majungu vipi?huu ni ukweli mchungu vijana wa aina ya Mwinjaku na wenzie ni watu wa kujisifia kweli mbele ya walimwengu!!!!😭😭😭😭kwa mambo yanayoendelea hapa bongo ni aibu kujitambulisha
 
Acha kudanganyika na hao wavimbaji wa kinigeria wa huko mitandaoni,hiyo nchi yao ina vijana maskini wengi sana tena afadhali mara mia ya bongo,ndo maana vijana wengi wa huko wanakimbia nchi yao na wengi wao hawana kazi za kueleweka zaidi ya utapeli wa mitandaoni pamoja na wizi.

Hata hapa bongo wapo wengi tu,tena wengine hawana hata vibali,mfano sehemu kama sinza,makumbusho na kijitonyama wamejazana tena unakuta kwenye chumba kimoja wanaishi hata kumi na mbili ndani.
 
Kwakua nchini kwao Ajira ni tatizo mda mrefu..hivo wanajilipua sehemu mbalimbali...na deal chafu hawajawahi kuhofia..as they have nothing to lose
 
Back
Top Bottom