Vijana wa ndanda sec mpo humu????

Luno G

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2012
Posts
2,549
Reaction score
1,849
Nikiwa kama moja kati ya wanafunzi tuliowahi kupitia ndanda sec kuna mambo mengi huwa nayakumbuka kutoka pale shuleni hakika yapo mengi sana ila machache kati ya hayo mengi ni;
1. Ngoma ya Lizangati
2. Top layers
3. Maembe ya kumwaga ukifika msimu wa matunda
4. Ongezea wewe
 
Lizangati ndio kila kitu umemaliza lini kaka.
 
ha ha ha ha ha ha mtandi ilulu chepo na kule shela hahahah mpaka kilimanjaro chezea ndanda weweee wapi goele hassani
 
Mambo ya Mwena kwa wake zenu tehe tehe.
je mnavijua vigongo nyie shauriro diazi vicheche wa masasi girls tupo kwi kwi kwi....
 
Daah kitambo sana
under Lulukila control wap baba Abasia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…