Luno G
JF-Expert Member
- Sep 22, 2012
- 2,549
- 1,849
Nikiwa kama moja kati ya wanafunzi tuliowahi kupitia ndanda sec kuna mambo mengi huwa nayakumbuka kutoka pale shuleni hakika yapo mengi sana ila machache kati ya hayo mengi ni;
1. Ngoma ya Lizangati
2. Top layers
3. Maembe ya kumwaga ukifika msimu wa matunda
4. Ongezea wewe
1. Ngoma ya Lizangati
2. Top layers
3. Maembe ya kumwaga ukifika msimu wa matunda
4. Ongezea wewe