Mjukuu wa kigogo
JF-Expert Member
- Sep 19, 2023
- 445
- 1,094
Yule mtu maarufu aliyezima habari zote duniani ikiwemo uchaguzi wa Marekani wadau wamemtumia kuanza kupiga pesa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unaota au andika upya.Yule mtu maarufu aliyezima habari zote duniani ikiwemo uchaguzi wa Marekani wadau wamemtumia kuanza kupiga pesa
Hapo wtz utawadaka wengi kuna wajinga wengiUjinga tu
Na maujinga kama hayo huanzia kwa wanaojiita wajanja,DSM.Hawapo makini na mustakabali wao kimaisha.Ilimradi wanaamka ili waishi tu.Hapo wtz utawadaka wengi kuna wajinga wengi