Vijana wa ovyo tayari washachangamkia fursa kuzalisha jezi za Balthazar 400

Wanauzungumziaje uchaguzi wa serikali za mitaa tarehe 27 November to Remember,2024 kwa mustakabali wa kuimarisha msingi-jumla wa kimaisha mbeleni?
 
Weka bei Mkuu, size gani unazo? Nataka Nyekundu na Nyeusi.
 
Hii dunia ina vituko sana. Kila kituko ni fursa ya kupiga hela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…