Vijana wa Sasa hivi wamezaliwa katika wakati nzuri sana

Umesema kweli mkuu nimeona nguvu ya mtandao jinsi inavyoinua na kuunganisha watu

Ukituliza akili unaweza kutoboa kupitia hizi social media na kubadili maisha kabisa

Muhimu ni YBWYB
 
Ingawa wanamaisha mafupi sana ya kuishi duniani.

Technolojia huwa inakuja na heka heka zake.
Mkuu urefu au ufupi wa maisha hauna tija maana yote tufanyayo hapa duniani ni bure
Wewe kwa umri wako ni watu wangapi wa rika lako unawafahamu wameshatangulia tokea ukiwa mtoto?
Na ukitafakari waliotangulia sio kwamba walikua wabaya sana, wema sana La hasha,
Kila mmoja na njia yake na ukifa kila mtu anakusahau
Kuna muda nikiona kijana wa rika langu ametangulia napata uchungu moyoni ila kuna muda naona wivu sababu ameshapumzika sisi tunapambana na dunia
 
Mimi nimejikita zaidi kwenye lifestyle ya Gen Z, huwezi kulinganisha na millennials walivyokuwa wanaishi na namna wanavyoishi hadi sasa,


Tafiti ndogo tu, zinasema Tanzania ipo top 5 africa kwa watu wenye shida ya kisukari. Hii Red indicator

Gen Z, wamejikita zaidi kuremba miili yao, badala ya kulinda afya yao kwa udi na uvumba.

Tusidanganyane, maisha ya sasa yamejaa magonjwa kibao, kwa sababu ya technolojia.
 
Ni kweli, ila yote kwa yote ni maisha ni ubatili mtupu
 
Mkuu nikipost karanga zangu hapa Mbeya hizi za kutafuna kwenye Nairobi Watu wa Arusha wanakula kununua?

Illusion hii
Watanzania tunapenda trend na vitu vya kijinga

kama ulivyo sema kupost karanga ama kitu kingine usipokaa ukashangaa ..... Kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…