Vijana wa siku hizi wanadhulumiwa sana burudani ya muziki

Vijana wa siku hizi wanadhulumiwa sana burudani ya muziki

Smart AJ

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
5,564
Reaction score
5,884
Hapa kwa ma legendary wenzangu wa miaka ya 80’s-90’s,nyie wa 2000 hii haiwahusu kabisa,mwaweza pita tu.

Vuta picha uko zako ghetto enzi hizo unaskiza ngoma kama

-this one I promise you ya nsync.

-forever and for always ya shania twain

-seven days and im walking away za craig david

-album ya westlife

-ngoma za bsb(back street boys)

-ngoma za michael jackson na lionel richie

-album ya mwanamama celine dion

-my all ya mariah carey

Na nyinginezo nyingi mtajazia wenyewe.

Tukirudi africa kuna vichwa kama 2 baba goma kama african queen,lilikuwa ni tishio sana.

P psquare na album yao ya get square (japo hapa ni miaka ya 2003 hapo)

Tanzania kina tid na mr paul na zuwena walitoa vibao murua haswaa.

Dada jide na kina stara thomas nao hawakuwa nyuma kabisa.

Na wengineo wengi waliofanya muziki mzuri na wa kuelimisha...

Kwa points hizi nachelea kusema vijana wa siku hizi wanadhulumiwa sana burudani ya muziki,tena sana tuu..
 
Siku hizi kuna hawa wanapiga kelele kinoma wanasifia mademu,pombe na madawa ya kulevya

images - 2022-03-23T233319.632.jpeg
 
Hapa kwa ma legendary wenzangu wa miaka ya 80’s-90’s,nyie wa 2000 hii haiwahusu kabisa,mwaweza pita tu.

Vuta picha uko zako ghetto enzi hizo unaskiza ngoma kama
-THIS ONE I PROMISE YOU ya NSYNC.
-FOREVER AND FOR ALWAYS YA SHANIA TWAIN
-SEVEN DAYS AND IM WALKING AWAY ZA CRAIG DAVID
-ALBUM YA WESTLIFE
-NGOMA ZA BSB(back street boys)
-NGOMA ZA MICHAEL JACKSON NA LIONEL RICHIE
-ALBUM YA MWANAMAMA CELINE DION
-MY ALL YA MARIAH CAREY

NA NYINGINEZO NYINGI MTAJAZIA WENYEWE.

TUKIRUDI AFRICA KUNA VICHWA KAMA 2 BABA GOMA KAMA AFRICAN QUEEN,LILIKUWA NI TISHIO SANA.

P PSQUARE NA ALBUM YAO YA GET SQUARE (japo hapa ni miaka ya 2003 hapo)

TANZANIA KINA TID NA MR PAUL NA ZUWENA WALITOA VIBAO MURUA HASWAA.

DADA JIDE NA KINA STARA THOMAS NAO HAWAKUWA NYUMA KABISA.

Na wengineo wengi waliofanya muziki mzuri na wa kuelimisha...

KWA POINTS HIZI NACHELEA KUSEMA VIJANA WA SIKU HIZI WANADHULUMIWA SANA BURUDANI YA MUZIKI,TENA SANA TUU..
Kwa sisi wazee wa dansi kulikuwa na kina Msondo ngoma, Sikinde, Vijana Jazz, Bantu group., Watunjatanjata.

Kwa wavuta bangi kina Alpha Blondi Lucky Dube, Bob Marley, Peter Tosh

Na hawa umewasahau kwenye list yako... Boyz Ii Men, Whitney Houston, Iron Chakachaka...

Wamama wa mipasho waliwakilishwa na Khadija Kopa na Nasma Hamis Kidogo bilankumsahau Mzee Yusuf...

Dah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti wavuta bangi dah[emoji1487]
 
dah! mziki wa ssa hv ni matusi matupu, yani hakuna cha zaidi wanaeza imba, wametepeta sana.
 
Nmezungumzia kwa upande wa muziki mzuri nasio maudhui,najua hata baadhi ya wasanii wa zamani walikuwa na maudhui yasiyo ya stara.

Ila point yangu ni ule uzuri na ustadi wao,kwenye kuwasilisha sanaa zao,muziki wa sahizi hata hauna ladha mfano wasanii wetu wakitoa kibao leo basi kesho kutwa tu kimeshachuja na hakina tena mvuto!...

Ila utakubaliana na mimi nikikwambia kuwa ukiskiza wimbo wa miss independent wa neyo lazima utikise kichwa,ngoma kama what,s love ya jarule na ashanti unaionaje!??,vipi kuhusu dude la nelly ft kelly rowland DILEMMA.

Haya basi skiza ngoma ya zuwena ya mr paul kwa hapa bongo itakufunza kitu juu ya ufundi wao...
Kama unazungumzia muziki mzuri na kwa maelezo yako inaonyesha utafiti wako umeegemea zaidi kwa wasanii fulani na fulani basi ni unakosea.

Hivi unataka kuniambia ni wapi Ali Kiba aliimba Matusi? Ama hana "muziki" mzuri?

Vipi Grace Matata? Umemsikiliza Lord Music? Hujasikiliza muziki mzuri wa Kayumba? Au hao ni wa zamani?

Wazee msijifiche katika kichaka cha kutaka kutuaminisha kila msanii wa sasa anaimba "matusi" ikiwa mmejichaguliwa wanamuziki wa kuwasikiliza kama case study yenu.

Bado unasema vijana wa kuanzia mwaka 2000 sisi ndio wahanga. Mzee kama umekubali hata zamani wapo waliokuwa wakiimba hovyo, inakubidi pia ukubali hata sasa wapo wanaoimba vizuri.
 
Hapa kwa ma legendary wenzangu wa miaka ya 80’s-90’s,nyie wa 2000 hii haiwahusu kabisa,mwaweza pita tu.

Vuta picha uko zako ghetto enzi hizo unaskiza ngoma kama
-THIS ONE I PROMISE YOU ya NSYNC.
-FOREVER AND FOR ALWAYS YA SHANIA TWAIN
-SEVEN DAYS AND IM WALKING AWAY ZA CRAIG DAVID
-ALBUM YA WESTLIFE
-NGOMA ZA BSB(back street boys)
-NGOMA ZA MICHAEL JACKSON NA LIONEL RICHIE
-ALBUM YA MWANAMAMA CELINE DION
-MY ALL YA MARIAH CAREY

NA NYINGINEZO NYINGI MTAJAZIA WENYEWE.

TUKIRUDI AFRICA KUNA VICHWA KAMA 2 BABA GOMA KAMA AFRICAN QUEEN,LILIKUWA NI TISHIO SANA.

P PSQUARE NA ALBUM YAO YA GET SQUARE (japo hapa ni miaka ya 2003 hapo)

TANZANIA KINA TID NA MR PAUL NA ZUWENA WALITOA VIBAO MURUA HASWAA.

DADA JIDE NA KINA STARA THOMAS NAO HAWAKUWA NYUMA KABISA.

Na wengineo wengi waliofanya muziki mzuri na wa kuelimisha...

KWA POINTS HIZI NACHELEA KUSEMA VIJANA WA SIKU HIZI WANADHULUMIWA SANA BURUDANI YA MUZIKI,TENA SANA TUU..
Hata zamani kuna walioimba upuuzi mfano mmoja ni Awilo Longomba.
(kubekube kimbamba yoooo)
Kuna walioimba nyimbo kwa ajili ya dancing tu mfano James Brown(sidhani kama ulikuwa umeshazaliwa wakati tunasikiliza nyimbo zake)
 
Kama unazungumzia muziki mzuri na kwa maelezo yako inaonyesha utafiti wako umeegemea zaidi kwa wasanii fulani na fulani basi ni unakosea.
Hivi unataka kuniambia ni wapi Ali Kiba aliimba Matusi? Ama hana "muziki" mzuri?
Vipi Grace Matata? Umemsikiliza Lord Music? Hujasikiliza muziki mzuri wa Kayumba? Au hao ni wa zamani?
Wazee msijifiche katika kichaka cha kutaka kutuaminisha kila msanii wa sasa anaimba "matusi" ikiwa mmejichaguliwa wanamuziki wa kuwasikiliza kama case study yenu.
Bado unasema vijana wa kuanzia mwaka 2000 sisi ndio wahanga. Mzee kama umekubali hata zamani wapo waliokuwa wakiimba hovyo, inakubidi pia ukubali hata sasa wapo wanaoimba vizuri.
NENO [emoji419]
 
Siku hizi kuna makelele hakuna mziki

Ova
 
Yeah kipindi nchibina heshima na idabu, unakula sikinde yako pale ddc magomeni kondoa, bila kusahau safari nyingi tu kichwani, saa nane alfjiri mdogo mdogo na bonde, unaibukia mkwajuni, katiza pale kwa marquis, nyimbo moja mbili unakula kona yako kinondoni shamba, hakuna vibaka nchi imetulia na TISS wanalinda nchi kwa taadhima,looooo now nchi imegeuka kuwa short cut ya human trafficking, drugs cartels, syndicates za Malaya etc etc etc
 
Back
Top Bottom