cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahKwa sisi wazee wa dansi kulikuwa na kina Msondo ngoma, Sikinde, Vijana Jazz, Bantu group., Watunjatanjata.
Kwa wavuta bangi kina Alpha Blondi Lucky Dube, Bob Marley, Peter Tosh
Na hawa umewasahau kwenye list yako... Boyz Ii Men, Whitney Houston, Iron Chakachaka...
Wamama wa mipasho waliwakilishwa na Khadija Kopa na Nasma Hamis Kidogo bilankumsahau Mzee Yusuf...
Dah