Vijana wa siku hizi wanadhulumiwa sana burudani ya muziki

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 
Hata hapa Bongo mzee wanaume wanagongwa kinoma bado haijajulikana siri ya hii kitu katika tasnia ya muziki dunian
 
Tatizo hapa ni kitu inaitwa NOSTALGIA ndio kinawasumbua watu wa zamani.

Hata kizazi hiki tutaface Nostalgic moments za nyimbo za sasa.

Nyimbo mbovu zamani na sasa zote zilikuwepo and vice versa
 
Hivi Marvin Gaye aliwahi kuwa shoga? Au jina lake tu ndo lilileta taharuki!

Aliuawa kabla hata sijazaliwa ila huwa namsikilza sana.

Let's get it on, whats going on, inner city blues.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kudanganya, Marvin Gaye hakuwa gay.
 
Aliuliwa na baba ake mzazi kwa bunduki kisa kashifa ya ushoga.
Again unadanganya. Marvin Gaye aliuawa na baba yake kutokana na ugomvi baina yao. Marvin alimchukia baba yake kutokana na mateso aliyompa utotoni. Watu huwa wanachanganya, actually baba yake Marvin ndiye alikuwa "cross dresser", yaani mwanaume anayependa kuvaa nguo za kike na sio Marvin.
 
90s hapo album za Malijendi Chronic ya Dr Dre, album za Tupac, Ready to die ya Biggie smalls, illmatic ya Nas, mnyama Ice cube hao ni wachache tu kwenye hip-hop.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…