Vijana wa Tanzania tuamke; nchi inatafunwa na wazee na watoto wao nyie mnabaki kusifia

Vijana wenyewe ndio hawa watoto wa wazee wanaotafuna Nchi.

😅😅
 
Vijana tz wako bize kucheza kukatika uno komasava
Watu wanajadili uhamisho wa chama yanga 😄

Ova
 
Naahidi 2025 kwa kura zenu wananchi ndugu jamaa na marafiki na watanzania kwa umoja Nina toa ahidi kuwa nitaiboresha sekta ya habari na jarida la jamii forums tafadhali naomba kura zenu. Kugombea ubunge

pia Nina ahidi sitomiliki V8 kama makada wengine bali nitamiliki Cadillac escalade au Mercedes Benz G glass wagon. 😃😃😃😃
 
Mjinga namba Moja ni wewe ungekua na hasira na nchi Yako raisi ungeshamnasa vibao maana Kila siku anaonekana yaani mitanzania bhana Kila kitu linamlaumu mwenzie kwamba kazubaa wakati lenyewe linaandikia mtandaoni unataka wanaume wakupiganie wafe wewe ukiwa ndani ya shuka jinga sana wewe wenzio Kenya hawaongei sana kama wewe humu mitandaoni Kenya ni vitendohapa bongo Kila mtu age kivyake tu hamna mtu atae toa rigo yake kisa Kwa mtu mpumbavu kama wewe mtoa thread nasema hayupo ukiona maisha magumu hama bongo nchi mbona zipo nyingi ila sio wanaume tutoe roho zetu kisa mpumbavu kama wewe
 
Huyu ndiye kijana tuliyenaye!
 
Kina Lucas Mwashambwa, choice variable, Stuxnet , CM 1774858, Tlaatlaah na genge lao wamejitanabaisha kuwa wapiga zeze huku wakifurahia 10k kwa kila uzi wanaopandisha humu. Wakati kuna wazee waliojichokea, wanaohamia cm toka cdm wanakula maisha.
Kwanza mimi ni mtu mzima, niko retired. Nina vyanzo vyangu vya mapato, hakuna mtu anaweza kumilipa kumpigia debe

Hivi hukawahi kuona thread ninazomshabikia Lissu au ninazomkosoa Rais. SAMIA? Sema kama hujaona niziweke hapa
 
Gen z ya bongo inawaza ngono tu na kubet...tokeni road mkatetee kesho yenu eboo!!.
KWa maana hiyo wew utakua ni 1900's na je katika kipindi chenu cha ujana wenu mulikua munapambania nini au mulikua munawaza ngono

"Matokeo ya leo ni muendelezo wa matukio ya jana"

#punguza ujuzi mbele ya wajuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…