Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Mahakama imetoa hukumu kuwa Uongozi wa Yanga hauko madarakani kihalali hivyo uondoke na uchaguzi ufanyike upya kwa katiba halali ya mwaka 2011.
Ukisoma mitandaoni utaona kuwa Vijana wamekasirika hadi kutishia maisha ya wazee walioshinda kesi.
Hili ni jambo la kusikitisha sana, mbona hatuoni wakikasirika na kuonyesha hisia zao na jinsi serikali inavyo simamia hatima za maisha yao na nchi yao kwa kukasirika kipimo hichohicho wanacho onyesha kwa klabu yao ya Yanga?
Je, hawaoni huu utofauti wao na vijana wa Kenya katika kusimamia Mustakabali wa maisha yao?
Nini tatizo? Au tatizo ni sie wazazi wao kuwalea vibaya?
Pia soma
- Millard: Mahakama yaamuru Eng. Hersi aachie ngazi Yanga!