mdukuzi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 20,925 Reaction score 51,688 Jul 17, 2024 #21 Una hoja ,usikilizwe
NAMBA MOJA AJAYE NCHINI JF-Expert Member Joined Oct 29, 2019 Posts 9,863 Reaction score 20,806 Jul 17, 2024 #22 Wanaivuruga yanga ili Simba irudi kwenye makali yake!! Hilo ndio soka la bongo!
Chakaza JF-Expert Member Joined Mar 10, 2007 Posts 40,455 Reaction score 73,145 Jul 17, 2024 Thread starter #23 Guy of gisbon said: Vijana tuko tayari kuipigania nchi yetu. Tumekosa viongozi tu. Tofauti yetu na wakenya ni kwamba wao wana viongozi sisi hatuna Click to expand... Wafanyalo Gen-z mbona wanajiongoza wenyewe
Guy of gisbon said: Vijana tuko tayari kuipigania nchi yetu. Tumekosa viongozi tu. Tofauti yetu na wakenya ni kwamba wao wana viongozi sisi hatuna Click to expand... Wafanyalo Gen-z mbona wanajiongoza wenyewe
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 24,606 Reaction score 39,289 Jul 17, 2024 #24 Hatari sana
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Jul 17, 2024 #26 Vijanaa Wa Hovyo Hovyo
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Jul 17, 2024 #27 Aise sakata hilo la yanga watu wataandamana 😄 Litazungumziwa 😄 nguvu nyingi watatumia Ova
M Mzee wa kupambania JF-Expert Member Joined Aug 14, 2022 Posts 21,111 Reaction score 53,092 Jul 17, 2024 #28 Inasikitisha sana