Wio wa kike wala wakiume, unadhani wamekomazwa wapi?
Kabinti kanang'ang'ana na lizee jitu zima na kakijana kanang'ang'ana na jimama jitu zima..
Ni nini chanzo cha hali hili inayosikitisha sana mapenzini š
Mfomo wa Kimagharibi unaoungwa mkono kwa kasi na kwa kiango cha juu sana na serikali ya awamu ya sita utaliacha Taifa hili katika majonzo makubwa sana .
Sasa ivi kuna magroup karibu nchi nzima ya Wafanyakazi hasa walimu wa Kike lengo ni mitano tena. Mazungumzo yao sio kuijenga Tanzania ijayo bali kuhamasisha namna ya kuoata madaraka na kuwa na pesa ili waachane na wanaume ambao kwao ni viumbe wabaya sana na wanyama sana. Maadimin wao wengi ni masingle mother .
Niliona Kongamano moja la wanawake mama mmoja akisema kuwa alipozaa mtoto wa kiume alitaka kumuua kwa jinsi anavyowachukia wanaume. Anasema ni bahati tu alizaa kwa oparation na akawa ametnganishwa na mtoto lakini anasema kama angezaa kawaida angemnyonngelea mbali .
Tangu zamani tawala dhalimu siku zote kilikua zinadhoofisha wanaume na watoto wa kiume ili kuondoa kizazi cha mashujaa kutokea na kuwatoa nafasi zao wanazozikalia kifisadi. Ulaya ina maendeleo makubwa sana lakini hawana tawala zenye mazmuzi ya kishujaa bila kusaidiwa na marekani kijeshi.
Walianza kuhamasisha kuwachagua viongozi wengi wanawake. Wakafanikiwa. Baadae kuchagua mashoga na wasagaji . Wakafanikiwa.
Sasa nchi zote za ulaya zimetawaliwa Marekani na Waarabu matajiri kama inavyokuja kwa kasi Tanganyika .
Leo hii mtoto wa kiume akisikia ,"wanawake tunaweza ", " Nichagueni mimi kwa sababu ni mwanamke,"; basi huyo mtoto wa kiume anajiona ana bahati mbaya kuzaliwa mwanaume na kwa sababu hajawahi kusikia kuwa wanaume wanaweza au wakisema nichagueni kwa sababu mimi ni mwanaume basi akili yake yote itajua kuwa Mwanamke ndiye anayestahili kupata madaraka na sio mwanaume. Ndio hapo baadae wataibuka watoto wa kiume wanaotamani kuwa wanawake na kubadili jinsi zao kuwa za kike kama huko ulaya.
Kwa sasa hawa vijana na watoto wa kiume wanajiona hawawezi kuongoza zaidi ya kuwa machawa.
Kwa sasa wanaume hata kazi ile ya uanaume kitandani wanadanganywa kuwa hawaiwezi na wao wamejiona ni wanyonge kabisa. Yanasemwa mbele ya mikutano mikubwa na wakuu wa nchi .
Matokeo yake Wanaume wanapungua na kuuchukia uanaume wao kuanzia mashuleni jinsi watoto wa kike wanavyopendelewa na kupewa mazingira mazuri ya kusoma tofuti na watoto wa kiume, mara kule vitu maalumu vya wabunge kwenda kulipwa mamilioni ya pesa bila kuangalia maadili badala yake wengi ni Masingle Mother au wasagaji kabisa .
Haya mambo yapo katika ulimwengu wa roho na shetani anayapangilia kwa umakini mkubwa sana mana wanadamu wengi hawajui .
Leo kuna Chifu mmoja mwanamke Tanzania nzima na ndiye mkuu wa machifu wote kinyume na sheri za nchi mila za dini zote mpaka asili na hata mizimu ya mababu zetu waafrika. Nini kipo nyuma yake ni kile kile cha kuhalalisha ukoloni mpya . Wakoloni walianza kama yeye na kisha kuwatumia machifu kuhalalisha uporaji wa ardhi zote zenye madini na rutuba.
Hongera chifu Haunabaya kwa kuwa chifu pekee mwanamke na kuwa mkuu wa machifu. Sijui ni uchifu wa kudumu au ni kwa mitano tu. š¤š¤š¤ Mungu asipoingilia kati taifa langu litaangamizwa kwa kukosa maarifa.
Leo tunaona jinsi mama anavyopokelewa kwa mbwembe uarabuni lakini kwao ni haramu kwa mwanamke kutawala .
Sio wamarabu tu bali ni malengo ya siri ya vyama vya kishetani kuhakikisha dunia inakua na watawala dhaifu ili baadae hata majeshi yawe dhaifu kisha washike rasilimali za nchi wanayotaka kirahisi.