Vijana wa umri mdogo kujihusisha kimapenzi na watu wazima chanzo ni nini?

Vijana wa umri mdogo kujihusisha kimapenzi na watu wazima chanzo ni nini?

Attachments

  • IMG-20240807-WA0001.jpg
    IMG-20240807-WA0001.jpg
    71.8 KB · Views: 9
Zipo sababu nyingi tu Moja ni kutokuheshimiana,tamaa,na kujiona wewe ni WA level Fulani wakati ni tofauti na uhalisia,kutaka kuishi maisha ambayo huna.
sio wa kike wala wakiume, wamekomaa mno.
unadhani wamekomazwa na nani, wapi?

Kabinti kanang'ang'ana na lizee jitu zima na kakijana kanang'ang'ana na jimama jitu zima..

Ni nini hasa chanzo cha hali hili isiyo ya kimaadili wala isiyo ya kawaida inayosikitisha sana mapenzini katika jamii?
 
sio wa kike wala wakiume, wamekomaa mno.
unadhani wamekomazwa na nani, wapi?

Kabinti kanang'ang'ana na lizee jitu zima na kakijana kanang'ang'ana na jimama jitu zima..

Ni nini hasa chanzo cha hali hili isiyo ya kimaadili wala isiyo ya kawaida inayosikitisha sana mapenzini katika jamii?🐒
Issue iko kwa kijana mdogo kua na mmama, lakini kinyume chake Mwanaume wa miaka 45 anaweza kumuoa binti wa miaka 25 na wakazeeka wote....au hujastuka tu?
 
Back
Top Bottom